Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

anzshen yenu! Kwani itv ni ki2o cha serekali?...ni aibu wasomi wa CUF wanadumia chumba za mungu kuamasisha chuki na udini!
 

Kaka kama wewe ni kiongozi wa CUF, unabidi ujifunze propagander kwa utaki unaacha aka Pasco,
 
gazeti la msema kweli na washirika wake nao hawako nyuma kuripoti za chadema ndio mana chadema inakubalika maeneo yenye makanisa mengi

kwenye makanisa ndio kuna wasomi wengi na wanamageuzi na hii inatokana na biblia kuwa ndio chanzo cha mageuzi ya maisha ya mwanadamu, pia kumbuka mchango wa INDEPENT CHURCH kwenye uhuru wa Tz na Afrika.
 
Ah, Nyie si CCM B (Vimada wa CCM) sasa kama wanaume wenu wanapewaga Coverage kweli, Technicaly na Nyie Mpo katika hiyo coverage, au unataka kusema na Ndoa yenu ni ya Mkataba pia
 
Ingekuwa TBC 1 ningekubali.Katika TV zinazoongoza kwa uwazi na Ukweli na ITV pamoja na Star Tv.Hivyo hiyo picha unayosema ni inaonyesha uhalisia wa tukio lilivyokuwa,hata mimi nilipita hapo kwenye kikao chenu hakukuwa na watu wa kutosha.Unajua nyie mlikuja kwa lengo kwamba mnataka kuifunika CHADEMA, hamuwezi,unajua CUF mnatakiwa kuja kwamba CHADEMA hakikujengwa kwa siku moja,na wao hawarudi nyuma,wanaenda mbele.
 
Una maana kile CHAMA DOLA cha Nchi ya ZNZ!? Huku tanganyika wanafanya nini kwani!
 
Shukuruni sana wapiga picha wa ITV walijaribu kuonyesha mahali penye kundi la watu na kuepusha kuonesha uwanja usioukuwa na watu!!

Kule Arusha ITV hawakuonyesha kabisa msafara wa mabasi yaliyobeba wanaCUF kutoka Dar.
 
Waende TBC walipofungia ndoa ili waonyeshwe vizuri
 
Kwani sisi cdm mbona tunagawa vipeperushi makanisani halafu hamsemi? tatizo ni lenu sio letu.
 
CUF NUNUENI MITAMBO YENU AU TANGAZENI KUPITIA IMANI RADIO AU IMANI TELEVISHENI ACHANENI NA ITV!!!
Aagrh.....😛hoto:
 
Mi napendekeza cuf waende viwanja vya sahara mwanza wanaweza wakaifunika kabisa chadema
 
sasa unalalamikia tv?? lalamikia walioiua cuf..kwa kutumikia kaisari.. ila hata na hivyo mchezo wenu ni hatar sana... cuf nyie wabaaaya, nyie wabaaaya, nyie wabaaaaya..!
 

Utakufa kwa presha wewe, yani unalazimisha watu wajae kwa maneno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…