TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
Cuf ni chama cha siasa ambacho kilichajifia siku nyingi sana na wala usitafute mchawi!
Mkuu hiyo habari ya CUF kwani haikutangazwa na Radio Iman? Pia kama picha basi ilipaswa zioneshwe na gazeti Al-nuur au gazeti Al-huda.
kweli TBC WALIFANYA MAKOSA KUTOONYESHAJamani ITV kwanini mnawaumbua wenzenu? Lakini CUF si ipo serikalini kwanini TBCCCM haijaonyesha mkutano wa washirika wao?
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
Precisely!Ok kumbe ndio kile chama kilichokuwa na mtaji wa kura 10,000 igunga! Bhaasi nshakijua!
Itv mmiliki wake ni mchaga na mkatoliki, chadema ni cha wachaga na wakatoliki.hapo cuf haiwezi kuripotiwa vizuri hata siku moja.Wamekuwa wakifanya kwa muda mrefu sana na ni maagizo ya bwana 'mapua'.Atakayekwenda kinyume anafukuzwa kazi.Muulize sakina datuu nini kilimuondosha Nipashe.ITV + CDM= UKATOLIKI.