engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Concussion Overview
The term concussion describes an injury to the brain resulting from an impact to the head. By definition, a concussion is not a life-threatening injury, but it can cause both short-term and long-term problems. A concussion results from a closed-head type of injury and does not include injuries in which there is bleeding under the skull or into the brain. Another type of brain injury must be present if bleeding is visible on a CT scan (CAT scan) of the brain.
Concussion Causes
- A mild concussion may involve no loss of consciousness (feeling "dazed") or a very brief loss of consciousness (being "knocked out").
- A severe concussion may involve prolonged loss of consciousness with a delayed return to normal.
A concussion can be caused by any significant blunt force trauma to the head such as a fall, a car accident, sports injury, or being struck on the head with an object
Au nimeelewa vibaya....unaweza kupoteza fahamu au kupata matatizo ya muda mrefu lakini sio kupoteza maisha. Unless kichwa kiligongana na kitu kigumu wakati kilikuwa na matatizo tayari...
Sasa kama IS NOT A LIFE-THREATENING INJURY, hawa madaktari wetu iweje waseme ndio chanzo cha kifo?Concussion Overview
... By definition, a concussion is not a life-threatening injury, but it can cause both short-term and long-term problems.
Sasa kama IS NOT A LIFE-THREATENING INJURY, hawa madaktari wetu iweje waseme ndio chanzo cha kifo?
Mkuu hata mimi nashangaa sana, niliwahi kushuhudia incidents za brain concussion watu wanapoteza fahamu kwa muda alafu wanazinduka, lakini hii ya STEVE inatisha sana impact yake ilikuwa ya BRUTE force ambayo si yakawaida! Mimi si amini kama hiyo ilikuwa ni mambo ya kuangukia kisogo tu basi - Mungu atanisamehe nikisema kwamba kuna walakini sana, mimi naona aidha alipigwa na kitu blunt kwa nguvu nyingi sana na mtu wa miraba minne; si rahisi kisicha kile ku-inflict trauma kama hile ikikumbukwa kwamba STEVE naye alikuwa mtu anayafanya mazoezi, au mtu alimsukuma kwa nguvu za ajabu sana mpaka akajigonga kwenye kitu blunt, swali ni je kisichana hicho hizo nguvu kilizipata WAPI?Sasa kama IS NOT A LIFE-THREATENING INJURY, hawa madaktari wetu iweje waseme ndio chanzo cha kifo?
Mkuu hata mimi nashangaa sana, niliwahi kushuhudia incidents za brain concussion watu wanapoteza fahamu kwa muda alafu wanazinduka, lakini hii ya STEVE inatisha sana impact yake ilikuwa ya BRUTE force ambayo si yakawaida! Mimi si amini kama hiyo ilikuwa ni mambo ya kuangukia kisogo tu basi - Mungu atanisamehe nikisema kwamba kuna walakini sana, mimi naona aidha alipigwa na kitu blunt kwa nguvu nyingi sana na mtu wa miraba minne; si rahisi kisicha kile ku-inflict trauma kama hile ikikumbukwa kwamba STEVE naye alikuwa mtu anayafanya mazoezi, au mtu alimsukuma kwa nguvu za ajabu sana mpaka akajigonga kwenye kitu blunt, swali ni je kisichana hicho hizo nguvu kilizipata WAPI?
Wakati mwingine chuki si nzuri, mtoto wa watu Lulu anachukiwa je pengine marehemu alikuwa anataka kumfanya kitu kibaya ndo akamsukuma!? Muangalie vizuri mambo haya.