Elections 2010 Mtikila: Watanzania tumuunge mkono Dk. Slaa

Mkuu tunapiga vita udini hapa

Leo kweli nime amini ule msemo wa majirani zetu Kenya na Uganda na baadhi ya nchi za Kiafrica wanaposema wa TANZANIA akili zao ni Average Angalia jinsi ulivyo towa Mada yako inadhihirisha vyakutosha kuwa sehemu kubwa ya Akili yako au baadhi yenu akili zenu hazifikiri mbali kwamana hiyo hazifanyi kazi kama binadamu wa kawaida anavyotakikana kuitumia akili yake, niliposema hata kama atahubiri na kufunguwa peji zote katika bible hakukuwa na maana ya udini.,labla nisadie kidogo nilikuwa namainisha kuwa hata kama ataweza kutowa ushauri unaotokana na Bible na wananchi wakakubaliana nae na kumpa ushindi wa hizo kura basi, CCM hawatakuwa Tayari kumwachia Madaraka, kwanini nikasema hivyo mifano wa kule England na chama cha LEBA imekuja kugunduliwa kulikuwa na shimo la madeni intresti yake tu ni mabilioni kwa mwezi na kiongozi wake alijaribu kila manuva abakie lakini alishindwa sasa hivi mnafikiri CCM na serekali yake na uchafu unaofanyika wa kila aina wakatowe serekali kwa Silaha wa chadema wajimalize hilo msahau na halipo pigeni mayowe mmalize ,si Cha Chadema si Dr w Silaha serekali hawapewi ,Tatizo Nyinyi watu mshazowea kujidangaya na kudanganywa na hayo mambo yamekuwa kama kilema kwenu watatokea watu hapa utawasikia Mwalim nyerere hivi vile huyu mtu hayupo zake zimekwisha msifanye silibasi tunaishi katika 21senchari.
 
Back
Top Bottom