Mtikila kumshtaki Lusinde kikatiba

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF leo nimemskia rafiki sana wa karibu wa Mch Mtikila kuwa anajiandaa kufungua kesi ya kikatiba ya kumshtaki mh Lusinde(mb) kwa kuwa ametamka yeye Mwenyewe kuwa ni Kichaa wa kuzaliwa na katiba ya Tanzania haimpi nafasi kichaa kugombea nafasi ya Uongozi na pia ni Hatari Mtu kichaa kutunga sheria,tayarindalizi ya kumshtaki yanaandaliwa na wanakusanya vielelezo.
Nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JF
 
Go ahead Pastor, kwa sababu siyo ccm wala Tendwa, wala Makinda spika watamuwajibisha, hakikisha unawasiliana na waliokuwepo eneo la matukio
 
Go ahead Pastor, komaa naye kwa sababu siyo ccm wala Tendwa, wala spika Makinda watamuwajibisha, hakikisha unawasiliana na waliokuwepo eneo la matukio
 
Nchi hii ingekuwa na watu kama mtikila tungefika mbali. Pia system ya kisheria ingekuwa intact na inafuatwa pia tungekuwa kama wenzetu ulaya. jamaa ni mzuri wa kujenga hoja lakini anakosa backup ya wananchi
 
tumchANGIE IKIWEZEKANA maana huyu ni zaidi ya kichaa kichaa awezi tunga sheria wakati hataziharibu
 
Ha ha ha ha nimecheka sana. Mtikila wewe ni kifaa. Unajua mtikila ana akili za juu sana ndiyo maana watanzania wengi hatumuelewi. Nenda East Africa Court of Justice, Africa Court utakuta kesi za mtanzania pekee ni Mtikila.

Haachi kitu kipite hivi hivi. Ila kasoro moja tu, jamaa anahadaika na pesa kirahisi sana.
 
What Mtikila and Others are planing to do is very OK!!

LAKINI

Hilo sio tatizo la Msingi! Lusinde amesimama jukwaani si kwaniaba yake wala kampuni yake ... alikuwa anaiwakilisha CCM.

Two observations!!

1. CCM haina Kesi ya Kikatiba au ya namna nyingine ya Kujibu?

2. CCM kulikalia kimya jambo hili hadi sasa Wanachama wake wanaliunga MKONO jambo hili kwa dhati kabisa na dhamira zao zimetulia?
 
Ha ha ha ha nimecheka sana. Mtikila wewe ni kifaa. Unajua mtikila ana akili za juu sana ndiyo maana watanzania wengi hatumuelewi. Nenda East Africa Court of Justice, Africa Court utakuta kesi za mtanzania pekee ni Mtikila.

Haachi kitu kipite hivi hivi. Ila kasoro moja tu, jamaa anahadaika na pesa kirahisi sana.

Mtikilia hunichekesha na kunifurahisha sana. Yaani jamaa anapenda kichizi kwenda mahakamani. Bora hata wangempa chumba awe anaishi humo humo mahakamani.
 
Wana JF nipo hapa Arusha,jana pale mahakamani nilipata Habari kuwa ni Kweli Mch Mtikila anafungua Kesi ya kikatiba kuhusu Lusinde,hasa katika kipengele cha kuwa yeye(Lusinde)siyo kichaa wa kurogwa na ni kichaa wa kuzaliwa,kwa kuwa katiba inamtaka kiongozi kuwa na akili Timamu na alithibitisha Mwenyewe kuwa ni Kichaa basi..Lazma aondolewe kwa mijibu wa Katiba.
Nikiripoti kutoka Arusha ni mimi Mgeni wenu wa JF
 
HAHAHA lets Go Mtikila....jamaa kasema ni kichaa wa kuzaliwa . kudadadeekiii hatoki hapo labda kina lowasa wamsaidie kuwanginga mahakimu..ila mahakama ccm hawawezi kuleta haki hata siku moja
 
ushahidi upo wazi kabisa tatizo na maamuzi ya kimahakama,huyu jamaa huwa hawamtendei haki kabisa hata akishinda wataanza mizengwe tu
 
Lusinde alisema mwenyewe kuwa ni kichaa wa kuzaliwa ngoja akome kuropoka sasa
 
Jamani to be honest, kama lema alivuliwa ubunge kwa kosa lisilo direct kiasi hicho, je lusinde anafaa kuvuliwa on the spot? Mkuki kwa nguruwe mtamu! Ngoja tuone mahakama itaamuaje ili watanzania wajue ukweli wa magamba
 
Hivi ukichaa ni mtu kusema yeye kichaa au ni wataalamu kuthibisha mtu ni kichaa baada ya matendo yake?
Mtikila alikuwa unatafuta atoke vipi..........
 
Mzee wa dili,thafi thana,nenda mahakamani cdm tuangaike na m4c.athante nayeye apoteze jimbo!
 
Matamshi yake na kukiri mwenyewe ni ushahidi tosha,nini zaidi?
Hivi ukichaa ni mtu kusema yeye kichaa au ni wataalamu kuthibisha mtu ni kichaa baada ya matendo yake?
Mtikila alikuwa unatafuta atoke vipi..........
 
Back
Top Bottom