Hana shule achana naye huyo! Watu wNazungumzia afya yeye anatoks nje ya mada! Yaani huyu mtu ni kama kuku hajielewi kabisa.Kila ninaposikia anaongea ni utumbo wa nzi tu.
Mchange hana jipya kila anapoitwa studio yeye mbaya wake ni CHADEMA tu na ni mkakati wa makusudi kabisa wa startv kupotosha umma ili walau kuisaidia sisiemu lakini wamechelewa watanzania wana hitaji mabadiliko.
Kila ninaposikia anaongea ni utumbo wa nzi tu.
Mchange yupo sahihi, hujamsikia vizuri
Anasema mwenyekiti wa tume ni mkwe wa lowasa ndiyo maana hakumnyima fomu ya kugombea urais.
Swali je mwenyekiti wa tume Jaji Lubuva angemnyima kwa vigezo gani.
Mtikila anataka tuwe na mashaka na mwenyekiti wa tume na maamuzi yake.
Hafai mtikila.
Hana shule achana naye huyo! Watu wNazungumzia afya yeye anatoks nje ya mada! Yaani huyu mtu ni kama kuku hajielewi kabisa.
Mchange hana jipya kila anapoitwa studio yeye mbaya wake ni CHADEMA tu na ni mkakati wa makusudi kabisa wa startv kupotosha umma ili walau kuisaidia sisiemu lakini wamechelewa watanzania wana hitaji mabadiliko.
Du!! Polen sana kwa kupenda uchafu
Leo kaonge utumbo kijana makini?
Lakin huwa anasema kweli