Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Chintu

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
5,437
3,457
Mchungaji Christopher Mtikila amewasifu Dr Slaa na Prof Ibrahim Lipumba kwa kusikiliza na kutii sauti ya Mungu kupitia dhamira zao.

Amedai wagombea wote wawili wa CCM na CHADEMA wana mapungufu lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua wazi mapungufu yao yanazidiana kwa kiasi kilicho dhahiri mno!

Na kama kuna mtu haoni hilo basi anatakiwa kupimwa akili.

 
Huyu ni Mchungaji wa Kanisa,ni mtata sana. Yuko Live on air Star tv,Tuongee Asubuhi. Anasema EL afya yake si salama,hakuna mawasiliano kati ya ubongo na viungo vyake.

Viungo vimeshindwa kutii amri kutoka juu kichwani. Mtu yeyote anayemwunga mkono EL apimwe akili. Anamshangaa Mch mwenzake Gwajima kuambatana na EL. Sehemu kubwa ya mazungumzo yake ni mashambulizi kwa UKAWA
 
ni wajibu wa kila mwananchi kuwa mzalendo, Hivyo Ni Vzuri Wao Kufanya Hivyo...Ila Sisi Tumemkubal Mzalendo Halisi Mh.Lowasa
 
Tatizo la ccm sio ufisadi tatizo ni lowassa kama ni ufisadi wamebaki wengi ccm.
 
Mtikila anaongea fact kweli,ungiangalia kwa sasa ukawa hata clips za mgombea wao hawaonyeshi,jamaa hata hajulikani anaongea nini maskini,wanaokwenda kwenye mikutano wanasikitika sana
 
Anasema mwenyekiti wa tume ni mkwe wa lowasa ndiyo maana hakumnyima fomu ya kugombea urais.

Swali je mwenyekiti wa tume Jaji Lubuva angemnyima kwa vigezo gani.

Mtikila anataka tuwe na mashaka na mwenyekiti wa tume na maamuzi yake.

Hafai mtikila.
 
Ni kweli kabisa. Kuna hatari hapa ya kuongozwa na Rais tusiyemchagua. na hili likitokea tunachagua "anarchy"
 
Yani Ktk vijana wajinga nchi hii Mchange namba 1, Na cku zito akikosa ubunge mchange cjui ataishije nch hi

Mchange hana jipya kila anapoitwa studio yeye mbaya wake ni CHADEMA tu na ni mkakati wa makusudi kabisa wa startv kupotosha umma ili walau kuisaidia sisiemu lakini wamechelewa watanzania wana hitaji mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…