Mtikila amefichua mipango ya wafugaji kushika hatamu?

Ukifuatilia mtiririko wa shutuma za mtikikila dhidi ya lowassa utaona kuna ujumbe uliojificha!
UJUMBE HUU unaweza kuwagawa wapiga kura na pengine ukachukuliwa serious na wanausalana,wanasiasa na hatimaye wapiga kura.

Ina maana kuna mkakati uliosukwa na wakulima ili kumpitisha mtu wao na baadaye wafanye yao?

Je kuna ukweli wowote kwamba EL hajaongelea mikakati yoyote ya kuwakwamua wakulima?

Je kuna mgombea yoyote kupitia ccm ameligusia suala la migogoro ya wakulima na wafugaji?

Je kuna mgombea yoyote ni pro-wakulima au pro-wafugaji.

Siasa zinatupeleka pabaya sana iwapo suala hili litaachwa kumea.

Usalama wa Taifa ni lazima waingilie kati ili kuepusha aina yoyote ya kupolarize jamii ya kitanzania.

Wagombea kupitia midahalo wajiweke wazi juu ya swala hili kabla ya kukutana na mvutano unaofanania na ule wa kidini 2010.

Ni maoni ya tahadhari tu.tusiweke siasa mbele.

wewe ni mchochezi na saisa zako za majitaka,hii zambi itakuhukumu
 
wewe ni mnafiki tena mkubwa kwani kampaini zimeishaanza? hata kama aliongea lowasa ni makosa,ndo maana wanamchambua acha ujinga
 
Mtikila ni chombo cha system cha kuwayumbisha wa TZ lakini mwisho wake atafikia pabaya na yeyote anaye muunnga mkono mtikila namuonea huruma sana , kwani ni upuuzi mtupu yanayo toka kinywani mwake. ..... !
Hapa Mtikila anachokiongea kime trade sana miaka kama miwili iliyopita , wafugaji wana chama chao ambacho viongozi walizunguka Tanzania nzima na moja ya issue yao ni kumweka rais anaye wapendelea. One of their arm wanahela kuliko wakulima so they can finance the candidate kwa kuuza mifugo yao. Wakulima ni wengi na hawana umoja kwa hiyo hawawatishi
 
Suala la luwasa kuwa upande wafugaji hilo lpo wazi...naujue waz ngombe watachungwa hadi ikulu
 
mungu mkubwa katuondolea kikwazo cha maendeleo bado kidogo yan dakika chache tu ataiondoa sumu kbs..........ahsante mungu
 
Back
Top Bottom