Mtihani Wa Terminal Unaitaji Majibu

Mtihani Wa Terminal Unaitaji Majibu

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Mtihan wa terminal

1. Rais wa Sasa wa Tanzania ni Kikwe__
(a)ta
(b)te
(c)ti
(d)to
(e)tu

2. Aliyefanya Tanganyka iwe huru ni Nyere__
(a)ra
(b)re
(c)ri
(d)ro
(e)ru.

3. Mlima mrefu kuliko yote Afrika ni Kilima___ro
(a)nja
(b) nje
(c)nji
(d)njo
(e)nju.

4. Tanzania imepakana na bahari ya hi___
(a)nda
(b)nde
(c)ndi
(d)ndo
(e)ndu.
 
Hahahaha ijapo kuwa kiswahili sikufanya vizur I wish ungekuja mtihani kama huu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hahahaaa... wanaogopa division 0(?5), makelele ya wananchi yamezd na walim hawasomeki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom