Mtihani wa kidato cha pili

matc

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
260
45
Jamani wadau hili swala limekuwa likinishangaza sana kwa jinsi serikali yetu inavyodidimiza elimu kupitia mtihani wa kidato cha pili kwa kuruhusu hata waliochini ya wastani husika kuruhusiwa kuendelea kidato kingine.
Mwaka huu imesemekana kuwa watakaofeli mtihani huo watashindwa kuingia kidato cha tatu,lakin ajabu yake mpk sasa sijajua kama nyaraka ziko mashuleni juu yakurudia kidato au la!Mwenye uhakika na swala hili jamani tujulisheni.
 
Waraka wa kukariri darasa (F2) TAYARI ULISHATOKA NA HAUJABATILISHWA TANGU MWEZI WA NNE
NITA UATTACH KESHO BAADA YA KUSCANI
 
Naomba kuuliza, je kuna maandalizi yaliyofanyika mpaka sasa ili kuhakikisha huo mtihani unafanyika bila zengwe?
Ninaposema maandalizi namaanisha ratiba, walimu kutuma maswali n.k. Hata katika waraka uliotolewa hivi karibuni hauonyeshi mtihani wa kidato cha Pili utafanyika lini, je huo si Mtihani wa Taifa?
 
Sawa ila Form II watakuwa wanabaki wengi so shule nyingi hasa za Kata zitakuwa na Form II wengi halafu Form III na IV wachache sasa.
 
Back
Top Bottom