kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
kwani kuna tatizo gani hapo mkuu??jamani mnisaidie hapa hivi watoto wanapopewa mtihani wa hisabati wa majibu ya kuchagua wanapima nini?,wadau wa elimu tuna domain 3 na vipengele vya katika table of specification,hawa wamewapima nini?,jamani siasa mpaka elimu?,kunasiku zitaingia kwenye afya.
wao wanathubutu hawawezi lakini wanasonga mbele

kwani kuna tatizo gani hapo mkuu??

kwani mitiani ya zamani ilikuwaje? mitihani ya hisabati huwa wanatakiwa kuandika jibu tu, sio kuonyesha jinsi jibu lilivyopatikana kama kwenye higher levels.

Of course, siifagilii njia hiyo ya kuandika jibu tu, lakini thats just a fraction of our education system.
jamani mnisaidie hapa hivi watoto wanapopewa mtihani wa hisabati wa majibu ya kuchagua wanapima nini?,wadau wa elimu tuna domain 3 na vipengele vya katika table of specification,hawa wamewapima nini?,jamani siasa mpaka elimu?,kunasiku zitaingia kwenye afya.