Mtihani wa Darasa la Saba, baada ya miaka 50 ya Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa Darasa la Saba, baada ya miaka 50 ya Uhuru

Discussion in 'Jamii Photos' started by mluga, Aug 4, 2011.

 1. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu, nimeishiwa kauri na nguvu baada ya kuitizama hii picha ambapo mwalimu anasimamia mtihani wa kumaliza darasa la saba.
   

  Attached Files:

 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mwongo kabisa, hii picha mbona mnatuchanganya nayo? Mara monthly test mara zoezi na leo umekuja na nyingine ya necta? Heh!
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JF sio facebook,tuoni huu utumbo
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Sio kauri ni kauli
   
Loading...