Mtihani mgumu..

Mtihani mgumu..

saangapi

Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Habari wana jf!
Mimi ni kijana (24yr), nmekuwa na mahusiano na binti mmoja yapata mwaka sasa sijawahi kula tunda pengne sababu ya umbali maana anaishi kwao moro, mimi nipo dsm sasa amekuja maramoja dsm kwa sis wake na jana tukapanga kuonana nkampeleka lodge nkajua nitakula tunda..badala yake akataka kujidhihirishia kama nampenda na nina malengo gani kwake..nikapewa mashart yafuatayo:-
1.Tukapime afya zetu kwanza.
2. Nikatambulike kwao.
3. Niwe tayar kulea mtoto wake maana tayar ana mtoto wa kke alizaa na kjana ambaye hawako pamoja sasa.
4. Hamna kula tunda mpaka nimuoe.
Nimekubaliana na mashart hayo ila shart la nne limenitia mashaka kwa nini anizuie na ilihali yeye ameshazaa na syo bikra.? Na kwel nitaweza kuvumilia kpnd chote maana kwangu kuwa tayar kuoa ni mpaka niweke mazngra sawa maana ndo kwanza nmeanza kaz..? Sasa sjui inakuwaje hapo maana nampenda..Hamuwez amin jana nimeambulia patupu..hapo anaashiria nini wakuu?
 
Hata mate(denda) hakutoa?

If no weye ni mbulula!!!!!!

Itakuaje mbunye astoe na asikupe hata vile vidogo vidogo?

Na ikiwa alikupa vile vidogo vidogo na ukashindwa kudai vilubwa kwa kosa lake la kukupa vidogo wewe utakua mbulula +!!!!!!!

Mbunye tamu asikwambie mtu bwana!

Ngoja mi nizame makoleni nikuache na maugwadu yako hapa. teh teh teh!
 
Hata mate(denda) hakutoa?

If l no weye ni mbulula!!!!!!

Itakuaje mbunye astoe na asikupe hata vile vidogo vidogo?

Na ikiwa alikupa vile vidogo vidogo na ukashindwa kudai vilubwa kwa kosa lake la kukupa vidogo wewe utakua mbulula +!!!!!!!

Mbunye tamu asikwambie mtu bwana!

Ngoja mi nizame makoleni nikuache na ugwadu wako hapa. teh teh teh!

Vdogo vdogo na mazaga mengne nillitumia mbinu mbili tatu nikapata ila katkat ya ma-romance anashtuka nakuniomba nimuache.
 
ww unawekewa mashart wakat wenzako wanajimegea kila siku tena bure kabisa..
Miaka 24 unakubali kuishi na mke mwenye mtoto?

Yani mkuu..nmeanza kupata mashaka kwa hali hyo bado napewa mashart..nahs uzalendo utanshnda
 
Miaka 24 kuoa mdada mwenye mtoto.
mhh bado sana endelea kutafuta
 
Haha! kalee mtoto wa mwanaume mwenzako.. watu mnadata siku hizi duh!
 
Yani mkuu..nmeanza kupata mashaka kwa hali hyo bado napewa mashart..nahs uzalendo utanshnda

na kwann uwe na malengo ya kuishi na mwanamke aliyezalishwa na wengne?
Kwann hajamuoa jamaa aliyempa mimba?
Huku moro hawajamuona?
Na kama ni mluguru achana naye kabisa waluguru sio wanawake ni mawalu walu
 
Hapo mkuu nimekuelewa kabisa ntatafuta namna ya kumuacha
 
na kwann uwe na malengo ya kuishi na mwanamke aliyezalishwa na wengne?
Kwann hajamuoa jamaa aliyempa mimba?
Huku moro hawajamuona?
Na kama ni mluguru achana naye kabisa waluguru sio wanawake ni mawalu walu

Ni mluguru..Hapo mkuu nimekuelewa kabisa ntatafuta tu namna ya kumuacha..no way out!
 
Uboya huo kuekwa pending wakati wenzio wanajipigia na washatotolesha temana nae huyo kwanini hakusubiri ndoa tangu zamani shenzake!!!!
 
Piga chini, wanawake wengi na warembo, kama ww anakubania wezio huko wanapewa bure kabisa.
NB: Fimbo ya mbali hai hui nyoka.
 
Vdogo vdogo na mazaga mengne nillitumia mbinu mbili tatu nikapata ila katkat ya ma-romance anashtuka nakuniomba nimuache.

Liongo!

Zaidi ya kurembuliwa macho hata busu la shavuni hukupewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom