M Morrison Senior Member Joined Jun 6, 2012 Posts 102 Reaction score 17 Jul 4, 2012 #21 Kama kuthibitisha tu, mbona ni rahisi sana! Anaweza kuthibitisha kwa kutumia kanuni ya ''Syllogism'' kwamba kama A=B, B=C, na C=D, basi A=D. Alimuradi alitumikia BoT katika kipindi hicho, rekodi zipo zinazoonesha ametokaje katika utumishi huo.
Kama kuthibitisha tu, mbona ni rahisi sana! Anaweza kuthibitisha kwa kutumia kanuni ya ''Syllogism'' kwamba kama A=B, B=C, na C=D, basi A=D. Alimuradi alitumikia BoT katika kipindi hicho, rekodi zipo zinazoonesha ametokaje katika utumishi huo.