Mtihani huu ndugu yangu Amos atauvuka vipi?

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Huyu jamaa angu mzee wake alifariki akiwa mdogo wakiwa wameachwa watoto watano yeye na watoto wengine. Mzee aliacha asset kias kwa hyo bi mkubwa akawa anazismamia.

Baada ya baba yao kufariki mama alirithiwa na baba yao mdogo Amosi miaka ya 90s baada ya muda mama akazinguana na huyu baba mrithi ni kama waliachana lakini bi mkubwa akaendelea kubakia kwenye nyumba alioachiwa na mumewe yaan baba yake Amos

Baada ya happy mama akapata mwanaume mwingine ambaye sio wa ukoo wa kina Amos mama anamwingiza huyu mwanaume hapo nyumbn kwao kias ambacho madogo wakiwa nyumban wakawa wanaona hyo situation lakin watafanya nn

Leo Amos kaoa mkewe kaenda kijijini kumsalimia mkwewe mama bado anafanya tabia hizi hizi mbele ya mkwewe na mke wa Amos hajawahi kumwambia mumewe alichokiona kwa bi mkubwa

Siku moja Amos kazinguana na mtu wa kijijini kwao uku mjini yule jamaa akamwambia ndo maana mama yako ...... Akili kama za mamako, Jamaa ikabidi aanze kuutafut ukweli kajua kila baya la mama ake kule kijijin kajaribu kumuulizia mdogo wake wa kike ambae anaishi naekl kafunguka yooote

Mshikaji kabaki dilemma afanye nini
 
Huwezi kumchunga Binadamu let alone mtu mzima !!!

Yaani unaomba ushauri tukushauri jinsi jamaa afanye nini kuhusu maisha ya mama yake ? Huko ni kujibebesha mizigo isiyobebeka wakati maisha ya sasa yana mizigo ya kutosha
 
Angekua amebaki baba Amos akaleta mwanamke mwingine mngeona sawa ila kwasabu kafanya mama Amos imekua mada? Macheni bi mkubwa ajilie vyake kwa raha zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom