Mtihani darasa la saba

faru john junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
1,457
Points
2,000

faru john junior

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
1,457 2,000
Tangu nimehitimu darasa la saba miaka kadhaa iliyopta mpka leo hii sijawahi kusikia hii mitihani ikifanyika siku tofauti na JUMATANO japo tarehe ni tofauti lakini ni cku ya j5 tu ingawa miaka ya hivi karibu hii mitihani inafanyika kwa mda wa cku 2 tofauti na miaka ya nyuma. Mwenye kuelewa Luna nini hasa kwenye hii siku ya J5?
Nikirudi nikute majbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Richmass

Member
Joined
Jan 11, 2015
Messages
11
Points
20

Richmass

Member
Joined Jan 11, 2015
11 20
Kwa sababu ni watoto...ili kuwasaidia ni vema wakafanya katikati ya wiki ili kufanya akili zao ziwe active kuliko uwakurupushe kutoka wikend wakaanza mtihani mwanzo wa wiki.

Nadhani all of us we are familier kuhusu watoto wetu hasa unapowaamsha siku ya jumatatu kwenda shule ukizingatia pilikapilika za wikend.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,364,841
Members 521,025
Posts 33,330,163
Top