Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
..."Kama hata UWT wanatoa hongo kwenye chaguzi, basi namwachia Mungu".,JK -Dodoma October 2012.
Yaah its true the only difference is I know what will be the outcome (the reason why am cool) and you try to calculate the probability of the occurance for the future is very uncertain on your side....Soma tena post yangu ya easter 2011....This is a very calculated move and no one ambaye anaitwa fisadi atakaa aingie katika political circles za Tanzania..Wengine wanaakili nyingi sana na kudhani ni wajanja lakini we have got power to effect change..Watch and see the best is yet to come!
Unaweza nipatia link to hiyo post ya easter?
Ame,
Nimekusoma, ila ningependa kuelewa connection baina ya posts zako za awali, posts za kwenye uzi huu, na matukio yanayo unfold dodoma kwani napata tafsiri sio chini ya nne: Kwanza, kofia hizi mbili ni lazima zitenganishwe na ikiwezekana, mwenyekiti aliyepo sasa ni lazima aondoke mazima; Pili, pia nguvu inayodhamiria kumtoa mwenyekiti wa sasa nayo lazima iondoke; Tatu, ni muhimu migongano hii iendelee ndani ya CCM ili chama kife na kuisafishia Chadema njia, na Nne, hakuna tena matumaini ya mabadiliko kupitia CCM bila ya kujalisha nani atagombea 2015, na matumaini hayo sasa yapo chadema;
Sijakuelewa vizuri kuhusu post namba 145 hapo juu - kuhusu mada ya mkandara;
Ni akili kama zile za wakoloni ambao walikuwa wanabadilisha shangaGAZETI Kwa kweli hawa mafisadi hawana akili zaidi ya kujilimbikizia mali ambayo nyingi yao inatokana na kodi ya Watanzania!
wanajisifu kwa kujaza rangi za kijani dodoma.
acha kina babuu,mzee kantabula,vena,tonya,kimaro wavune hela kwa usafiri wa taxi na gesti zipate hela.
Mkuu Ciello inawezekana hujaelewa nilichopost.Ni kweli magamba wana akili sana hasa ukichukua sample ya kj,mwigulu,lusinde....wanatisha na wamewaletea watz maisha bora kwa akili zao, jamaa wako nondo aseeee....
Ni kweli magamba wana akili sana hasa ukichukua sample ya kj,mwigulu,lusinde....wanatisha na wamewaletea watz maisha bora kwa akili zao, jamaa wako nondo aseeee....
Mkuu Ciello inawezekana hujaelewa nilichopost.