Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF maalim Seif Sharifu Ahmadi na wanachama wanaomsapoti wajipanga kwenda Ofisi kuu ya Chama hicho kwa ajili ya kufanya usafi pamoja na kumuondoa Mwenyekiti anayetambuliwa Msaajili wa vyama vya Siasa Professa Ibrahim Lipumba.
Hatua hiyo imekuja baada uvamizi ulitekelezwa jana na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Lupumba kwenye Mkutano wa Mwenyekiti wa Cuf kinondoni Juma Mkumbi.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa mawasiliono wa chama hicho Mbarala Maharagande alipokuwa akizugumza na Muungwana Tv leo jijini Dar es Salaam leo.
Maharagande amesema kuwa hatavumilia uhuni unaofanywa na wafuasi wa Professa Lipumba na kwamba tayari zaidi ya wanachama 8,00 wamejitokeza kwa ajili ya kufanya usafi wa Ofisi hiyo.
Maharagande ameeleza kuwa maazimio ya kikoa cha ndani kilichokaliwa leo jijini Dar es Salaam ambacho kiliongozwa na Maalimu Seif Sharifu Ahmadai.
Amesema kuwa baada usafi huo watamkaribisha Maalim Seif kwenye Ofisi hiyo.