Mti wenye matunda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mti wenye matunda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilolambwani, Feb 9, 2011.

 1. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana Chadema msife moyo, mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe. Hayo yote yanayofanyika bungeni wameshajua kuwa chadema hawashikiki. Bado moto utawaka tu na kamwe Chadema haitaporomoka. Huku mtaani nani anaizungumzia vizuri CCM? Mwanzo wa mwisho wao umekaribia. Akina Mbowe msife moyo, mapambano bado yanaendelea.:thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:
   
Loading...