Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe hongera "Freeman Mbowe"

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wahenga walisema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

Nichukue nafasi hii kuipongeza CHADEMA na viongozi wanachama wafuasi na watanzania wapenda haki amani na mageuzi kwa kufanikisha mkutano wao mkoani Mwanza.

Wajinga waliubeza sana mkutano huo kuwa usingefanikiwa lakini kwa kuwa siku zote Mungu yupo na CHADEMA maelfu ya wananchi walimiminika kuhudhuria asante Mwanza. Mh Mbowe wewe ni mti wenye matunda ndio maana wajinga wanakupiga mawe

Walitaka ujitoe kwenye maridhiano ili CHADEMA iendelee kuteswa lakini ulisimama imara na Mungu hakukuacha hongera sana .Tunakuomba endelea na juhudi hizo hizo na viongozi wenzako ili wana CHADEMA waliopo magerezani nao watokea wawe huru na Mungu atawasimamia.

Viva CHADEMA viva CHADEMA
 
MCHAGA HALISI HANA HILA NDANI YAKE, MBOWE, GO, GO, GO..... Sabay, endelea kunyea Debe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…