ween
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 414
- 129
Habarbya asubuhi ndg zangu,
Kuna mti aina ya mtopetope unafanana sana na mstafeli nawengne huuita mstafeli wa kiswahili ila wenyewe hutoa matunda madogo na matunda yake hyana vipele juu kama ulivyo mstafeli
Ndg zabgu naomben kwa mwenye kujua ulipo kwa ha dar es salaam anielekeze niijie