Mti ufukuzao mbu

Spanish cedar is widely harvested for use as timber and has been appreciated since ancient times for its durability.
Visit also
our exotic tropical hardwood page for cedar.
The aromatic wood is also used for cigar boxes.
It is resistant to insect attacks due to the presence of a volatile oil in the wood.
The West Indian cedar is not related to the cedars of the cooler zones.

Suriname's traditional medicine

The bark of Spanish cedar is used against malaria, fever and rheumatism.
Visit our TINCTURE page.
 
Spanish Cedar gives outstanding gifts for natural medicine. The roots and the bark are used to make medicinal tea to reduce fever, clear the lungs from mucus and to cure stomachache. Tea made from the seeds kills parasites. The Spanish Cedar leaf bath relieves muscular pain and helps when you catch a cold.
 
Vangi kama ni huu mbona kwangu upo na mbu nikama vile sikukuu



Tatizo wengi wetu tumekulia mijini. Picha ya mti haisaidii maana miti mingi kwa kuangalia tu inafanana tunahitaji kujua jina na wapi miti hiyo inaota. Kila eneo lina uoto wa asili yeye atuambie mti huo unaitwa je na unaota katika maeneo yepi (yenye ukame, mvua nyingi, baridi n.k.
 
ooooh, ngoja nikautafute faster!
 
oh ! na hii vita ya malaria haikubaliki nadhani hako kamti katasaisia sana kama kweli ni ka mbu proof
 
Inawezakana ni porojo maana sina scientific explanation. Lakini niliambiwa ni mti wa kufukuza mbu na mbu siwaoni. Hivyo tu . Picha zaja soon.

Hiyo soon mbona haifiki!!!!!!!!!!!! Nilishasema tangia jana hii imekaa kiporojo zaidi....kwani huyu jamaa kashindwa kutuambia hata alipoununua ili wadau wafuatilie na kuleta fact hapa.

Ila kuna mwanaJF amesema huu mti unafukuza wachawi pia, labda ndo maana anashindwa kutuambia ameupata wapi, "isije ikawa ameupata Bagamoyo na lengo kuu likiwa kufukuza wachawi na kufukuza mbu ikawa ni by the way...
 
Unazungumiz "mti" mmea au "mti kitu nyingine?"...unafukuzaje mbu au ni " mosquito repellent tree" ambao mbu wanaukimbia/ ogopa harufu yake?...


[FONT=Times New Roman,Georgia,Times]

Tropical forest tree is source of new mosquito repellent as effective as DEET


<H1>Garlic Successful as Natural Insect Repellent
</H1>




[/FONT]
 
ooooh, ngoja nikautafute faster!

Mzee usije ukakufukuza kabisa na weye home ukaishia kushinda mitaani. Ushauri wa Bure kwa "MBu" wa kwewnye ili jamvi la JF asithubutu kupanda huo mti home, itakula kwake!
 


Masanilo

Imenisumbua kupost lakini hii hapa.
 
Wajuzi wanipunguzie jamani. NAona limekuwa too big.
 
Waheshimwa wataalam mmeuona mmea wenyewe? Tupeni manondo basi.
 
Waheshimwa wataalam mmeuona mmea wenyewe? Tupeni manondo basi.

Unaweza kunipa maelezo ya ziada, i) huu ni mti au shrub au herb, ii) una harufu yeyote unatoa? kama ndio ni harufu gani?

Ukinipa maelezo hayo itasaidia botanist kutambua haraka zaidi
 
Unaweza kunipa maelezo ya ziada, i) huu ni mti au shrub au herb, ii) una harufu yeyote unatoa? kama ndio ni harufu gani?

Ukinipa maelezo hayo itasaidia botanist kutambua haraka zaidi

unavyouona ndivyo ulivyo .Unarefuka na sio shrub.
Ngoja nikaunuse nitakuambia kama unaemit any odor.
 
Nimeununua Arusha kwenye nursary za Manispaa. Hata pembezoni mwa barabara wako wanaouza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…