stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 224
Kweli kabisaMara kadhaa huwa ninajiuliza: "Hawa jamaa wa forex wamepotelea wapi?" sasa naona mmerudi kwa nguvu tena mmejiboresha kwa kuja eti na A.I. Hahaha.
Anyway, mimi ninaamini kwamba binadamu ni kiumbe mchoyo sana na kama kungekuwa na shughuli inayoweza kumuingizia kweli Return on Investment ya asilimia 60-70, angekaa kimya na kufaidika mwenyewe. Kila la kheri
🤣🤣🤣🤣🤣Tayari kuna watu wameshashushiwa nyundo
Unapata pesa mingi zaidi...wabongo jamaniiMkuu umesema muda wa kuwasha robot ni kuanzia saa 9 hadi saa 10 mchana na kuzima saa 3 usiku. Vipi usipozima kama umeliacha on tu bila kuzima kuna shida gani?
Wizi mtupuHABARI ZA MDA HUU NATUMAI UZIMA UPO
Napenda nikuekeze kuhusu hii proJect ya MTFE ambayo imekua maarufu sana na watu wengi hawaiJui pia pamoJa na umarufu wake.
Kwanza kabisa kirefu cha MTFE ni....
Metaverse Foreign Exchange {MTFE}
Hii ni application ya Trading ya masoķo ya dunia yaliyopo mtandaoni kama FOREX, COMMODITY, INDEX, STOCKS AND CRYPTOCURRENCY hivyo MTFE kwa ufupi ni Jukwaa linalokusaidia kuweza kuingia katika hayo masoko na ukatengeneza pesa nying sana. lakin pia wengi hawayajui haya masoko labda niwape ufafanuzi ni masoko gani.[emoji116][emoji116][emoji116]
Ukisikia foreign exchange inamana ni mabadilishano ya fedha za kigeni so kila pesa ya taifa moJa kwenda taifa lingine huwa bei zinatofautiana na hapo ndipo inapatikana faida za kuuza fedha ya nchi flan kwenda pesa ya nchi ingine. maana kuna watu hawaelewi nn maana ya foreign exchange . ni mabadilishano ya fedha za kigeni.
Mfano mzuri ni TSH TO USD AU KES. masoko haya huwa yanachance ya kununua na kuuza, kuna vipindi vile kwenye redio au Tv tunasikia leo Dollar ya Marekani imenunuliwa kwa kiasi kadhaa na kuuzwa kwa kiasi kadhaa . zamani hizi biashara utazikuta mabenk tu ila sasa hivi dunia ipo kwenye technology masoko haya yapo mtandaoni ni wewe na sim yako tu, na zamani ilikubidi uwe na elimu ili uweze kufanya hii biashara. Ila sasa hivi unafanya hata ukiwa huna elimu na unatengeneza faida kama kawaida , unafanya kiganjani mwako na smartphone yako hata kama una kazi yako nyingine unafanya umeajiriwa au umejiajiri kwasababu haichukui mda wako. haya yote ni kwasababu ya technology imerahisisha vitu vingi sana.
Kwa huku MTFE tunatumia Robot ambalo linatrade kwa niaba yetu kwenye hayo masoko, nikisema robot namanisha {AI TRADING TECHNOLOGY} hivyo huna sababu yakukaa na kusumbuka kuumiza kichwa wapi uweke pesa zako utengeneze kipato cha ziada bila stress hizi robot za kutrade haya masoko zipo nyingi ila Robot la MTFE ni the best katika robot zote kwasababu linakutengenezea asilimia 60% hadi 70% ya mtaji wako kwa mwezi amazing sana hii.
Lakini pia watu inabidi ifike hatua tutofautishe biashara za UPATU na biashara halisia ni ajabu sana kuona mtu anasema forex ni upatu tuache hizo mambo tutafute elimu nzuri kuhusu haya masoko ni masoko ambayo yapo mda mrefu sana ila kwasababu ya sisi kutokutaka kujifunza mambo tumebaki nyuma hadi leo hatuelewi hivi vitu.
Nadhani hadi hapo tumepata uelewa Japo kidogo kuhusiana na MTFE Jins ya kuanza ni rahisi tu Download application ya MTFE play store au Apple store. kisha sajili account, fanya verification ya account yako kisha weka Mtaji Ai smart technology itatrade na muda wa kuwasha ai smart ni kila sku za Juma3 hadi Ijumaa muda wakuwasha ni saa9 mchana hadi saa10 jioni ndio deadline ya kuwasha robot lako na mda wakuzima ni saa3 usiku.
lakini pia ukumbuke kama wewe ni trader mzuri unaweza trade mwenyewe kwasababu masoko ya MTFE ni masoko halisi kwahyo price zake zinaendana na broker wengine kama kawaida.
Mtfee na forex no vitu tofautiMara kadhaa huwa ninajiuliza: "Hawa jamaa wa forex wamepotelea wapi?" sasa naona mmerudi kwa nguvu tena mmejiboresha kwa kuja eti na A.I. Hahaha.
Anyway, mimi ninaamini kwamba binadamu ni kiumbe mchoyo sana na kama kungekuwa na shughuli inayoweza kumuingizia kweli Return on Investment ya asilimia 60-70, angekaa kimya na kufaidika mwenyewe. Kila la kheri
Hizo hela kwanini msiende kulia bata? Kama mnawapenda sana watu basi wagawieni tu.HABARI ZA MDA HUU NATUMAI UZIMA UPO
Napenda nikuekeze kuhusu hii proJect ya MTFE ambayo imekua maarufu sana na watu wengi hawaiJui pia pamoJa na umarufu wake.
Kwanza kabisa kirefu cha MTFE ni....
Metaverse Foreign Exchange {MTFE}
Hii ni application ya Trading ya masoķo ya dunia yaliyopo mtandaoni kama FOREX, COMMODITY, INDEX, STOCKS AND CRYPTOCURRENCY hivyo MTFE kwa ufupi ni Jukwaa linalokusaidia kuweza kuingia katika hayo masoko na ukatengeneza pesa nying sana. lakin pia wengi hawayajui haya masoko labda niwape ufafanuzi ni masoko gani.[emoji116][emoji116][emoji116]
Ukisikia foreign exchange inamana ni mabadilishano ya fedha za kigeni so kila pesa ya taifa moJa kwenda taifa lingine huwa bei zinatofautiana na hapo ndipo inapatikana faida za kuuza fedha ya nchi flan kwenda pesa ya nchi ingine. maana kuna watu hawaelewi nn maana ya foreign exchange . ni mabadilishano ya fedha za kigeni.
Mfano mzuri ni TSH TO USD AU KES. masoko haya huwa yanachance ya kununua na kuuza, kuna vipindi vile kwenye redio au Tv tunasikia leo Dollar ya Marekani imenunuliwa kwa kiasi kadhaa na kuuzwa kwa kiasi kadhaa . zamani hizi biashara utazikuta mabenk tu ila sasa hivi dunia ipo kwenye technology masoko haya yapo mtandaoni ni wewe na sim yako tu, na zamani ilikubidi uwe na elimu ili uweze kufanya hii biashara. Ila sasa hivi unafanya hata ukiwa huna elimu na unatengeneza faida kama kawaida , unafanya kiganjani mwako na smartphone yako hata kama una kazi yako nyingine unafanya umeajiriwa au umejiajiri kwasababu haichukui mda wako. haya yote ni kwasababu ya technology imerahisisha vitu vingi sana.
Kwa huku MTFE tunatumia Robot ambalo linatrade kwa niaba yetu kwenye hayo masoko, nikisema robot namanisha {AI TRADING TECHNOLOGY} hivyo huna sababu yakukaa na kusumbuka kuumiza kichwa wapi uweke pesa zako utengeneze kipato cha ziada bila stress hizi robot za kutrade haya masoko zipo nyingi ila Robot la MTFE ni the best katika robot zote kwasababu linakutengenezea asilimia 60% hadi 70% ya mtaji wako kwa mwezi amazing sana hii.
Lakini pia watu inabidi ifike hatua tutofautishe biashara za UPATU na biashara halisia ni ajabu sana kuona mtu anasema forex ni upatu tuache hizo mambo tutafute elimu nzuri kuhusu haya masoko ni masoko ambayo yapo mda mrefu sana ila kwasababu ya sisi kutokutaka kujifunza mambo tumebaki nyuma hadi leo hatuelewi hivi vitu.
Nadhani hadi hapo tumepata uelewa Japo kidogo kuhusiana na MTFE Jins ya kuanza ni rahisi tu Download application ya MTFE play store au Apple store. kisha sajili account, fanya verification ya account yako kisha weka Mtaji Ai smart technology itatrade na muda wa kuwasha ai smart ni kila sku za Juma3 hadi Ijumaa muda wakuwasha ni saa9 mchana hadi saa10 jioni ndio deadline ya kuwasha robot lako na mda wakuzima ni saa3 usiku.
lakini pia ukumbuke kama wewe ni trader mzuri unaweza trade mwenyewe kwasababu masoko ya MTFE ni masoko halisi kwahyo price zake zinaendana na broker wengine kama kawaida.
Mchongo wahela huwa mnaujua watu wachache. Na wazo zuri la biashara linajiuza halijitembezi ukiona fursa inashadadiwa kwa nguvu kama DP world ujue hamna kitu hapo.HABARI ZA MDA HUU NATUMAI UZIMA UPO

Mtfee no tofauti na forexMara kadhaa huwa ninajiuliza: "Hawa jamaa wa forex wamepotelea wapi?" sasa naona mmerudi kwa nguvu tena mmejiboresha kwa kuja eti na A.I. Hahaha.