masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,180
Kupeleka watu nje kufanya kazi ilikuwa nia njema kabisa kwasababu Tanzania hakuna ajira tena, na hata hizo ajira ambazo zingefanywa na watanzania wenyewe kama upishi, ulinzi n.k; sasa zinafanywa na wageni.
Hata hivyo, hili la watu kwenda kufanya kazi katika mazingira ya utumwa, ni kashfa kubwa kwa wahusika akiwemo Mhe. Mtemvu mwenyewe.
Hii ndio hasara ya kuwakwepa washauri wa maana na kukimbilia kuwa na wasaidizi wanaofanya kazi kwa misingi ya udini, ukanda na ukabila.
Mkuu, hebu pitia hu uzi hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ubai-atakiwa-kusafirisha-dawa-za-kulevya.html angalia kama huyo nae ni Mkristo.
Watano unahudumia timu ya mpira au nn mkuu?Nyumbani kwangu nina wafanyakazi wa ndani wa tano (5),wanne ni wakristo. Na huyo mmoja (wa tano) alisilimu mwenyewe kwa hiari yake baada ya kukaa nae miaka mingi toka 1996,...
Nashukuru Mungu familia yangu kubwa,..Watano unahudumia timu ya mpira au nn mkuu?
Kama kitu huna uhakika nacho usiropoke anapeleka dubai sio watumwa ni watu wanaokwenda kupata ajira tena mfanyakazi wa ndani hulipwa hadi laki mbili sio kweli ndugu zetu hawa wakifika dubai hujisahau na kuanza kutembea na baba wenye nyumba ni uongo wanaousambaza kuna watu wanatumia fursa hiyo ya mtemvu kuwadanganya ndugu zetu ubalozi upo na unafwata haki zote za wafanyakazi wa ndani usikubali kupelekwa kama hujapata karatasi za mkataba zilizosainiwa na balozi
Hivi hii scandal ya watanzania kuteswa na kufanywa watumwa Dibai mbona kimya kimezidi toka wizara ya kazi, mambo ya nje, balozi na zaidi Mbunge bwana Mtemvu na kampuni yake hii ya watumwa?
Hata waislamu wenzao (weusi) wanadai sio waislamu kamili, ndio maana hata medium of instruction ya dini wanaifanya Kiarabu! Cheki waislamu weusi wanachofanyiwa kule DarfurWhen have Arabs ever treated black people fairly? let alone as equals. Y'all seem to have forgotten your 500-year history with these desert dwellers.
naona mada kamili ni uaribifu wa tigo
Hata waislamu wenzao (weusi) wanadai sio waislamu kamili, ndio maana hata medium of instruction ya dini wanaifanya Kiarabu! Cheki waislamu weusi wanachofanyiwa kule Darfur
Waislamu wakienda hakuna tatizo maana Dubai sio ya makafir, makafir ndio hawafai. Makafir waende Ulaya na Marekani huko ndio kuna wafaa kwa kuwa kuna mfumo kristo.
ndo maana hamna network
tumbafu sana, kwa hiyo na waislamu wafukuzwe kwenye nchi za ulaya na marikani?
Mimi ninauzoefu na dubai naenda kutembea kwa ndugu na jamaa sijayaona hayo ila sikatai yanaweza kuwepo..Kama unavyoweza kua na mfanyakazi hapa tanzania wangapi wanawatesa mpaka kuwatia vilema watoto wa watu so the same as dubai unaweza kua na bahati mbaya ukaenda kufanya kazi familia ya ovyo ndio hayo yanakukuta
Hivi hii scandal ya watanzania kuteswa na kufanywa watumwa Dibai mbona kimya kimezidi toka wizara ya kazi, mambo ya nje, balozi na zaidi Mbunge bwana Mtemvu na kampuni yake hii ya watumwa?
Ni upumbavu hasa wa makabila ya kibantu kupost watu wao huko uarabuni kwa kazi ya uyaya....cha kushangaza ni waislam tu ndio wanakubaliwa.Na tabia hii hata hapo Dar imeenea,wanaofanya kazi za dami kwa wahindi ni waislam na hawana elimu,Kwa utafiti niliyofanya mpaka mkristo anayetafuta kazi hizo aweze kudanyanya jina la kislam ndiyo apate kazi.Na shauri jamii ya ukanda wa pwanu na kati pelekeni watoto hasa wa kike shule jamani.............