Mtela Mwampamba anusurika kichapo Mbozi eneo la Mlowo

Status
Not open for further replies.
Mwampamba na magamba wenzie,mmekwishaaaaa.CHADEMA tuko imara sn Mbozi.Wanambozi hawana hamu na CCM tena.Huo mkutano wenu ulikuwa ni wakichama zaidi coz wengi walikuw ni magamba.
 
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za chadomo na kujiunga na ccm.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 ccm tutaimba iyena iyena ccm ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule ilamba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata ccm itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee
unagombea ubunge unapata kura 30000 wiki chache baadae unaharibu unafukuzwa kwenye chama unaamua kurudi kijijini kuwaeleza ulivyoonewa kwa kampeni kubwa, pesa nyingi zinamwagwa na mikwara kibao af vijana 140 wanakufuata, na wewe unaingia mtandaoni kujisifu eti umefunika!
 
Watapata shida sana hawa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za chadomo na kujiunga na ccm.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 ccm tutaimba iyena iyena ccm ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule ilamba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata ccm itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee
Kama hii ndio slang yako sijui CHADEMA walikupaje huo umakamu mwenyekiti wa BAVICHA.
 
Hadi 2015 utakuwa na mimba 8000 kwa kutembea na huyo mzinzi,

harafu nakupa pole sana maana hujui ulitendalo.

2015 lazima muhame nchi

MAFISADI wote lazima muozee jera.

watanzania tumeshajitambua sana, hizi sio zama za chumvi na vitenge

wanawake wote wangekuwa washamba kama wewe ningekata rufaa ya kuzaliwa na mwanamke

unadhihilisha ushamba wako wakutumika kam mdoco
 
Kama hii ndio slang yako sijui Chadema walikupaje huo umakamu mwenyekiti wa Bavicha.

Yaaani JULIANA umekuwa kibaraka hivyo? !!!! Hivi unafikiri hivyo vijisenti unavyopewa kuwasaliti wateule vitakufikisha wapi? Wewe ni mkrsto kumbuka YUDA ISKARIOTI aliishia wapi?
 
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 CCM tutaimba iyena iyena CCM ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule iIramba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata CCM itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee

Punguza mukhari oga tulia andika kinachoeleweka. Msalimie mshua wako.
 
. Mtela Mwampamba vipi ulienda kumsalimia mama yako mzazi, ambaye ni diwani wa viti maalum CHADEMA kwa tiketi ya kutojua kusoma? ni kwanini usimshawishi ahamie CCM, usikie atakavyokutoa nduki!
 
Awalipe watu fedha zao ,walipigwa,wakaswekwa ndani kwa ajili ya kumtetea tamaa zake na dada yake zimembeuza mjinga anashuhuhudia dada yake juliana akibemendwa na mwigulu, si amesema yuko kwao anakimbia nini sasa
Mkuu anabemendwa ndo nini hahaha!
 
Wale Vijana waliofukuzwa CHADEMA na kujiunga na CCM leo wakiwa wameongozana na Naibu katibu Mkuu wa CCM -Mwigulu katika Wilaya ya MBOZI wamefanya mkutano wa hadhara pale MLOWO ambapo ndiyo eneo alotokea MWAMPAMABA. mkutano ulikuwa na watu wa vijijini ambao walibebwa kwa magari kuja kwenye mkutano ambao ulitangazwa sana na REDIO ILASI ya mbozi kwa siku 5. Hali ilikuwa mbaya kwa MWAMPAMBA pale vijana WA MLOWO wakaanza kuimba wakimwambia MWAMPAMBA awarudishie pesa zao walizomchangia wakati akiwa CDM. ulinzi uliimarishwa sana na baada ya MWIGURU kusoma mazingira akahutubia kwa tahadhari akiwataka wananchi wachangie shule za KATA. Baada ya MKUTANO mwampamba na JULIANA wamekimbia kwenda kulala MBEYA MJINI wakiongozana na MWIGURU ameshindwa hata kweanda kuwasalimia wazazi wake kwa HOFU.

souce MIMI MWENYEWE ENEO LA TUKIO.

View attachment 96227

Kweli kabisa na hapo wamemchapa vibaya si unaona mwenyewe jinsi anavyopokea kipondo
 
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 CCM tutaimba iyena iyena CCM ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule iIramba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata CCM itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee
Katika nchi ambayo kiwango cha rushwa ni kikubwa, kuwa na chama ambacho ni free from engaging in
Corruption is a big boast.CHADEMA ni mfano halisi wa hili. Muda mwingi wa viongozi wa CDM
umeelekezwa kwenye kukemea rushwa na siyo kujibu porojo zako,
 
Mwampamba njoo humu ukanushe haraka maana hii si dalili nzuri kwako kisiasa.

Hao vijana waliotimliwa cdm, ccm inawatumia kama condom tu hakuna jingine! Wanajidanganya eti wataiangusha cdm? Wamulize kafulila atawapa story ila yeye namsifu kuingia Nccr kidogo alituliza akili.
 
unagombea ubunge unapata
kura 30000 wiki chache baadae unaharibu unafukuzwa kwenye chama unaamua
kurudi kijijini kuwaeleza ulivyoonewa kwa kampeni kubwa, pesa nyingi
zinamwagwa na mikwara kibao af vijana 140 wanakufuata, na wewe unaingia
mtandaoni kujisifu eti umefunika!

Binti umekamatwa sehemu nyeti. Hivi wewe ni mzima au? Kwenu haukulala? jaman kwenu hata kunywa maji unaogopa? Hivi wewe,Muheshimiwa anaita kampe chai,fanya haraka.
 
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM.Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 CCM tutaimba iyena iyena CCM ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule iIramba nchi mtaiweza kweli?Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata CCM itashinda kwa kishindo .pole weeeeeeee
Pole wewe ambaye hivi karibuni utakuwa mgonjwa wa fistula manake unatumiwa vibaya,kipimo cha mfugaji mwigulu unaambiwa ni zaidi umegeuza hata mwendao jiangalie tusijetukakuita marehemu julina karibuni hata hujaona jua umeingia kwenye mauisha ya mashaka, magari ya FFU matano yalikuwa yanafanya nini kwenye mkutano wenu
 
View attachment 96227

Kweli kabisa na hapo wamemchapa vibaya si unaona mwenyewe jinsi anavyopokea kipondo
yote hayo maigizo, ambayo hayawasaidi wananchi wala CCM yenyewe angalie angle za picha na range yake ni kuficha kitu halisi, pole vidubwana tumikeni tangu mumezungushwa miezi sita sasa je mumeona wapi chadema imeacha kufanya kazi zake
 
asie fadhila hafadhiliki dhambi ya unafiki ni mbaya sana anyways time will tell
 
Wale Vijana waliofukuzwa
CHADEMA na kujiunga na CCM leo wakiwa wameongozana na Naibu katibu Mkuu
wa CCM -Mwigulu katika Wilaya ya MBOZI wamefanya mkutano wa hadhara
pale MLOWO ambapo ndiyo eneo alotokea MWAMPAMABA. mkutano ulikuwa na
watu wa vijijini ambao walibebwa kwa magari kuja kwenye mkutano ambao
ulitangazwa sana na REDIO ILASI ya mbozi kwa siku 5. Hali ilikuwa mbaya
kwa MWAMPAMBA pale vijana WA MLOWO wakaanza kuimba wakimwambia
MWAMPAMBA awarudishie pesa zao walizomchangia wakati akiwa CDM.
ulinzi uliimarishwa sana na baada ya MWIGURU kusoma mazingira akahutubia
kwa tahadhari akiwataka wananchi wachangie shule za KATA. Baada ya
MKUTANO mwampamba na JULIANA wamekimbia kwenda kulala MBEYA MJINI
wakiongozana na MWIGURU ameshindwa hata kweanda kuwasalimia wazazi wake
kwa HOFU.

souce MIMI MWENYEWE ENEO LA TUKIO.

Mtela Katoka ndukiiiiiiii sasa yupo pwani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom