- Thread starter
- #21
hahaaaaaaa kweli wewe majanga inaonyesha ni namna gani tumewadhibiti na kuwapa unyago wa kisiasa unajifanya umesahau niliwaambia kabla sijahutubia kwamba wale wote waliokuwa wanasema mtandaoni tukiludi mbozi watatupiga waandae mawe yao maana tutawapa unyago wakutosha na nikawaambia mwanakibwetere yeyote anayeona hana moyo wa uvumilivu namshauri aondoke maana tutamchambua kibwetere na chama chake na uongo wao kwa watanzania.
eti tumekimbia watakucheka watu wewe fatilia mikutano yetu yote tuliyofanya nchi nzima kama kuna mahali tulihutubia na kulala hapo sisi tunapiga amsha amsha maana sehemu nyingi zinahitaji kufikiwa na manyakanga wa kisiasa chini ya kiboko yenu jemedari Mwigulu.
Hayo mambo ya kata sijui hata umeyatoa wapi speech nzito sana imeshushwa leo na ndio maana zaidi ya vijana 140 wamerudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na ccm.
Eti watu wamesombwa mtaishia kujifariji 2015 ccm tutaimba iyena iyena ccm ni nambari wani mapeeeemaaa vijiji tu vimewashinda kule ilamba nchi mtaiweza kweli?
Angalizo;kipigo kingine kinakuja kwenye kata ccm itashinda kwa kishindo .
pole weeeeeeee
kama kweli ww kwnu ni Mlowo na kaburi la baba,mama na babu yako ni hapo mbona hukwenda kusalimia kama si kukimbia kichapo?