Mtekaji wa Ulimboka Joshua Mhindi ni mgonjwa wa akili

mangifera

Member
Oct 15, 2011
47
34
Yule jamaa wa Kova anayedaiwa kumteka ulimboka ni mgonjwa wa akili. Alikutwa kanisani anafanya fujo kwa kupiga watu na kutukana ovyo. Wakamkamata wakamfunga akawa anatoa vitisho kuwa yeye ni mtu hatari ndiye aliyemtesa ulimboka. Akapelekwa kituo cha polisi ili kanisani pawe shwari, hapo ndipo Kova na jamaa zake wakapata kichaka kingine cha kujifichia.
Utaalamu ni kuwa ugonjwa wa akili alionao huyu jamaa unajulikana kama MANIA. Na jinsi alivyojipresent ni kuwa alikuwa na delusions yaani mtu kujiona kuwa yuko katika hali fulani ya juu tofauti na ukweli. Mfano, mtu anaweza kuamini kuwa yeye ni Roho Mtakatifu au yeye ni Mungu na ndiye anayeishikilia dunia tofauti na kweli yenyewe.
Kanisa la Gwajima limemshangaa sana Kova na wenzake kwa kupotosha ukweli.
 
Pia habari za uhakika zinasema kuwa kabla ya kutoa habari hizi, Kova kwa mkono wake mwenyewe aliwagawia hela nyingi waandishi wa habari ili wauaminishe umma kuwa aliyowaeleza ni ya kweli. Hii ni kwa mujibu wa shuhuda aliyemwona kova kwa macho yake mwenyewe.
 
eeeh! Loading . . . . . ! Network failure. Ngoja nibadili modem. Nipe na source mkuu.
 
Yule jamaa wa Kova anayedaiwa kumteka ulimboka ni mgonjwa wa akili. Alikutwa kanisani anafanya fujo kwa kupiga watu na kutukana ovyo. Wakamkamata wakamfunga akawa anatoa vitisho kuwa yeye ni mtu hatari ndiye aliyemtesa ulimboka. Akapelekwa kituo cha polisi ili kanisani pawe shwari, hapo ndipo Kova na jamaa zake wakapata kichaka kingine cha kujifichia.
Utaalamu ni kuwa ugonjwa wa akili alionao huyu jamaa unajulikana kama MANIA. Na jinsi alivyojipresent ni kuwa alikuwa na delusions yaani mtu kujiona kuwa yuko katika hali fulani ya juu tofauti na ukweli. Mfano, mtu anaweza kuamini kuwa yeye ni Roho Mtakatifu au yeye ni Mungu na ndiye anayeishikilia dunia tofauti na kweli yenyewe.
Kanisa la Gwajima limemshangaa sana Kova na wenzake kwa kupotosha ukweli.

upo kwenye ibada mkuu??

Mh sasa hiyo diagnosis we umeipata wapi? Mania?? delusion??
Hebu tupeni taarifa za uhakika na sio za kuunganisha maneno ya kitaalamu, mania na delusion ambayo hata tafsiri ulizotoa hazipo sahihi.
 
mangifera hizi ndizo habari kutoka kwa Gwajima kanisani leo kama ilivyoahidiwa jana au ni mawazo yako au ni other source?
 
Last edited by a moderator:
Pia habari za uhakika zinasema kuwa kabla ya kutoa habari hizi, Kova kwa mkono wake mwenyewe aliwagawia hela nyingi waandishi wa habari ili wauaminishe umma kuwa aliyowaeleza ni ya kweli. Hii ni kwa mujibu wa shuhuda aliyemwona kova kwa macho yake mwenyewe.

Asante mkuu but from the look of the video Kova hakuwa na raha kusema yale aliyo kuwa anayasema so wache niwe mpole ningojee zaidi .Je maandiko yako haya umeyatoa wapi kanisani au nawe umesikia tu kaka
 
Pia habari za uhakika zinasema kuwa kabla ya kutoa habari hizi, Kova kwa mkono wake mwenyewe aliwagawia hela nyingi waandishi wa habari ili wauaminishe umma kuwa aliyowaeleza ni ya kweli. Hii ni kwa mujibu wa shuhuda aliyemwona kova kwa macho yake mwenyewe.

Hivi ukiandika uongo hivi nafsi yako inajisikiaje?
 
Mleta mada hayupo serious anaulizwa maswali hajibu,ni wa kupuuzwa.Kwanza hata title ya habari yake imejaa fitina zilezile za kutaka kutuaminisha ujinga.Huyo Joshua sio mtekaji wa Ulimboka kama wewe na Kova mnavyojitahidi kutuaminisha.Ungeandika "Mtekaji wa Ulimboka" at least!
 
Back
Top Bottom