mteja ndani ya hotel

mteja ndani ya hotel

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
[h=6]Mteja flani kaingia kwa 5 star hotel.

MTEJA:"Pilau bei gani?"

WAITER:"Tsh.2000 pamoja na kachumbari."

MTEJA:"Kwani kachumbari ni bei gani?"

WAITER:"Kachumbari ni bure."

MTEJA:"Basi nipe kachumbari sahani moja."

[/h]
 
Huyu ni kumkomoa tu unamletea kachumbari yenye pilipili kibao halafu unamwambia akibakiza analipia elfu ishirini
 
Back
Top Bottom