Mtei yuko right - AN NUUR

Status
Not open for further replies.
Mtei wewe umeona tume tu na maserikalini huko huoni.Umeanza mwenyewe unashindwa kumaliza wajibu sasa hao annur.Au wewe kwako udini ni tume tu fisi maji.Sipendi majitu yenye dhana ya kidini kama hichi kizee

weka heshima mbele,hata kama unahathira.
 
Gazeti la kiislam la AN-NUUR katika hali ya kushangaza limeibuika na kuunga mkono kauli ya mwanasiasa mdini Edwin mtei na kuwataka eti watanzania kumpongeza mzee huyo,hii nchi kama siielewielewi vile..



Hili gazeti halifai hata kufungia maandazi.

Hivi Waislamu wote wana mawazo sawa na wanaoandika gazeti hili? Miaka 20 ya mauaji ya Waislamu Sarajevo, hii si ni Historia: Vipi mauaji ya Syria mbona hayazungumziwi? Somalia nao wanauwa na UN? Darfur kule nako wanamgambo wa Kiislamu wa Janjaweed nao wametumwa na UN?

Yaani mimi mnanishangaza hapo: Ikitokea vurugu muislamu akafa basi ukemeaji unategemea huyo muislamu kauawa na nani. Kama kauawa na muislamu mwenzake hiyo itaonekana ni fujo ya kawaida tu, kivumbi ni iwe vinginevyo.

Labda niwaulize: Shia anapojifunga bomu kuua Sunni kule Iraq, taarifa huwa haziwafikii?

Kule Nigeria, magaidi wa Boko Haram wanavyoua watu wasio na hatia, Ali Nuru hajapata habari?

Al Shaabab ambao wana msimamo mkali wanavyouwa waislamu wasio wa msimamo mkali, hayo hamuyaoni?

MAONI: DAARUL ARQAM SCHOOLS (ENGLISH MEDIUM) inakiuka maadili ya dini. Kwa nini ifundishe kwa kiingereza na si kiarabu?
 
jibu hoja! Jina lako linafanana na unachokiandika pia!

Sijaona hoja yako unayotaka niijibu. Umepost wapi?

Ni kweli avatar zinashabihi tabia zetu, I am war like. Vipi kuhusu wewe, hiyo ndio kazi yako?

Kama jibu ni yes, tangaza bei nijipoze
 
nyie wadini jibuni sasa hoja za al nuur hilo gazeti ndo mdini mwenzenu,

wanasema wanampongeza MTEI kuwa tume haina uwiano na uwiano huo usiishie kwenye tume uende hadi kwenye madaraka ya ngazi zote na taasisi zilizopo serikalini na taasisi binafsi ili dhana ya udini ikae sawa,tusiogope kujibu na tusiiangalie tume kama MTEI yupo sawa na huu tuuone ni usawa!kama AN NUUR ni mchochezi basi MTEI mwanasiasa mdini ni mchochezi zaidi na ni KIRUSI kwa watanzania
 
shule?? Kumbe kila dini inajenga shule zake?? Na hizo zenu mlizojenga kama ndio walizosoma kina Lusinde Duh??

Hapana. Ni moja tu ndio inajenga shule, nyingine kazi zake ndio kama hizi za umbea na kulalama. Lusinde si ni kama wewe, hata ukipelekwa shule gani, tabia yako haiwezi kubadilika bi mkubwa.
 
kwani udini unaonekana leo tu katika uteuzi wa wajumbe wa tume ya katiba? mbona hawakuhoji miaka yote uteuzi wa jumbe wa baraza la mawaziri, makaibu wakuu, majaji, maRC, ma DC. wakurugenzi? mmefanya utafiti na kujua uwiano ukoje huko? mmeridhika na teuzi hizo?
 
Hao ni wanafiki. LAKINI ukweli ni kwamba mtei yupo sawa! Uislam umetawala tume!

Ndio maana akaambiwa yuko sahihi,ila Mtei alikojichanganya ni kuwa udini kauona only kwenye Tume ya katiba, ama kungine kote ambako kila siku waislam wanakuzungumzia hajauona huo udini? hebu kama kweli ur a great thinker tafuta hilo gazeti ulisome kisha uje uvunje hoja moja baada ya nyingine kwa data zako againist data walizotoa?
 
Sielewi kwanini ni uwiano wa dini tu ndio muhimu na ndio watu wanautaka au kuuhoji zaidi?

Ni kwa sababu kinachoweza kuwavuruga watanzania kwa sekunde chache mno ni Dini na sio siasa. Waislam siku zote wamekuwa wakilalamika mambo kibao kuhusu uwiano, na ninaamini kwa wewe MMK yote wayazungumzayo waislam siyo mageni kwako na facts wanazozitoa zimeenda shule na walishawahi omba hata mijadala ya kitaifa kwa yeyote anayesema wanayoyasema si sahihi lakini hakuna anayethubutu kunyanyua kidole kwani wote mnajua ni ukweli mtupu. Uwiano mwingine wowote una watu wa dini zote ila uwiano wa kidini just ni makundi mawili ima muslam au mkristo, thats why hili ndio suala nyeti sana.
Ila tukirudi nyuma sisi waislam wa bara katika wale wajumbe 15 wa bara na sisi hatujatendewa haki, kama Mteni kachukulia uwakilishi uendane na uwianowa wingi wa watu basi kwa Tanzania bara waliowengi ni waislam kwa nini tupewe watu wa4 tu?
 
wanamtukana mtei ndugu! labda haujaelew

wanasema alichosema ni sahihi na ndio wanachokisema kila siku

kuwa

kuwa na uwiano sawa wa dini hizi mbili kwa wafanyakazi serikalini kama vile

hazina
jeshini
madaktari
BOT
polisi

List goes on.......

Kichwa cha habari hicho ni kejeli...soma ndani uelewe

Mtei anatuletea matatizo

Si kila kitu ni siasa. Taaluma zibaki taaluma, critera ibaki competence ya mtu na sio dini ya mtu. Hivi kuna dactari muislam au mpagani au mkristo kakosa kazi?
 
Kazi kubwa ipo mbele yetu kama tunahangaika na kubalance watu kwenye nafasi kwa kuangalia dini na sio uwezo wao. Hili Taifa lisahau maendeleo.
 
wanamtukana mtei ndugu! labda haujaelew

wanasema alichosema ni sahihi na ndio wanachokisema kila siku

kuwa

kuwa na uwiano sawa wa dini hizi mbili kwa wafanyakazi serikalini kama vile

hazina
jeshini
madaktari
BOT
polisi

List goes on.......

Kichwa cha habari hicho ni kejeli...soma ndani uelewe

Mtei anatuletea matatizo

Ahsante sana!

Tuna tatizo la usomaji kwa watu wetu.
 
An nuur wanashindwa kutofautisha nafasi za kuteuliwa na zile za kufanyia interview. Kama waisilamu wanataka nafasi za kazi serikalini, wawe wanafaulu interview basi! Mtei amelalamikia rais kutumia uwezo wake kuteua nduguze!
 
Asiyajua maana usimfunze maana.

Tanganyika mnako elekea siko kabisa. Ni lazima mjitambue na kujielewa kabla kuvamia mambo.

Nawapa pole kwani mbegu hizo ni mbaya sana.
 
kuna wabahai,wahindu na wapagani ambao wanasahaulika sana kwenye hili swala la uwiano.mimi nadhani hawa ndio wa kupiga kelele!
 
Tutafika tu huko mnakotaka tufike wengine humu watashangaa sana wakifika huko kwa sababu waliichangia safari pasipo kujua wanaenda wapi
 
Kiukweli naunga mkono hoja ya mtei kwa asilimia 100%. Pia tkiangalia upande wa pili hitume ingekuwa na wakristu wengi kama ilivyo sasa kwa waislamu sipati picha ingekuwaje.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom