Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Nadhani mtoa mada amesoma kichwa cha habari juu ya meza hajasoma contents ndani.
Sielewi kwanini ni uwiano wa dini tu ndio muhimu na ndio watu wanautaka au kuuhoji zaidi?
Wanampongeza kwa.jambo lipi kama siyo unafiki tu. Hicho kigazeti huwa sikitofautishi na magazeti ya erick shigongo ya UWAZI na IJUMAA.
JK ni MDINI sana. Kumbuka namna jaji mkuu wa sasa alivyopatikana
Ukikosa taaluma na ujuzi kitu pekee rahisi kukimbilia na kukumbatia ni uwiano wa kidini. Ndio maana utawasikia watu wakilia..........huyu ni mwenzetu tunakuwa wote msikitini...kanisani.....kijiweni.........Sielewi kwanini ni uwiano wa dini tu ndio muhimu na ndio watu wanautaka au kuuhoji zaidi?
Kwani huyo jaji ni shehe wa msikiti gani?JK ni MDINI sana. Kumbuka namna jaji mkuu wa sasa alivyopatikana
wanamtukana mtei ndugu! labda haujaelew
wanasema alichosema ni sahihi na ndio wanachokisema kila siku
kuwa
kuwa na uwiano sawa wa dini hizi mbili kwa wafanyakazi serikalini kama vile
hazina
jeshini
madaktari
BOT
polisi
List goes on.......
Kichwa cha habari hicho ni kejeli...soma ndani uelewe
Mtei anatuletea matatizo
wanasema uwiano anaoutaka mtei usiishie kwenye tume tu uende mbali zaidi mpaka mawizarani, majeshini n.k. nadhani
Ndio, nawaunga mkono Waislam kwa hilo. Tume haina usawa kidini.
mlitaka jk amteuwe charles hilary na adam mwakanjuki na wanafamilia wao kama wajumbekutoka zanzibar ili kuleta uwiano wa kidini? hamna hoja mmejaa udini mtupu, rudini mjipange upya, kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaa...
Kwa hiyo pendekezo lako ni kuwa wafanyakazi wachaguliwe kwa kubalansisha dini zao na si kuwa na vigezo au?
Ile mada yako ya Lulu imepigwa ban sababu ya utoto wa namna hii hii. Jengeni shule kwanza, msome, muelimike halafu ndio muanze kujichanganya kwenye post zinazohitaji shule