Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

usihangaike ndugu kushauri watu humu, siku hizi ushabiki wa kisiasa ni kama simba na yanga au dini. hakuna atayekisikia wala kukuelewa ni wachache wanaochambua mwelekeo wa vyama vyao ila asilimia kubwa kuna misukule ya vyama, IPO misukule ya CCM, CHADEMA, CUF n.k ingawa hakuna hata mmoja anayejijua ye ni msukule kwa upande wake hakuna nyani wa chama kimoja anayetazama kundule ila la mwenzake na kumcheka
 
Tangu lini wewe umekuwa Mwana CHADEMA?

Mkuu hii mbinu yenu ya Ma CCM itashindwa soon.....ni balehe tu zinawasumbua
 
Sawa tumekusikia mtoto wa kigoma.ndio mahana watu wa kigoma wanafunza miguuni kwa kutojijari kimwili na macc yako



swissme
 
Hizo propaganda za kitoto sana na zilishafeli kitambo.
 
Wew mnafiki mkubwa post zako nyingi umejipambanua kuwa ni act sasa hivi unajiita mwanachadema embu acha unafiki wewe chadema tuachie tunaojitambua nyie mfuateni -------- wenu shida nin

😡
 
Ni mwanachama KADI namba No 053548!Tawi la Nyang'wale !!Tusaidiane...
lazima utakuwa na matatizo ya akili! kama unayaona matundu yote hayo, unangoja nini kuondoka na kujiunga na mafisadi wenzako wa CCM?
 
Vipi tena mwanachama mwenzangu Facilitator ?!Tusaidiane...

Tufanye kwamba yote uliyoandika hapo ni KWELI na wanachadema wanayajua. Jenga bas hoja yako sasa. Haitoshi tu kuuliza WHY? Onyesha uhusiano wa hizo hoja na performance, growth au downfall ya chadema kama taasis. Nakuskiliza
 
Last edited by a moderator:

Watu wa aina yako mko mstari wa mbele kutaka mabadiliko ila wakati huo huo mkiwa wafitini na wanafiki wakubwa....huna lolote unatafuta tu kuona hisia za watu hapa!
 

Tatizo la kukarilishwa linawagharimu sana hawa vibaraka wa wasaliti.Baada ya October ccm na mchepuko wake watataabika sana kwani mfumo fisadi utang' olewa mizizi.
 

Haina haja yoyote

Hii mijitu ndivyo ilivyo
 
Mbinu fake hizo unazotumia, hata buku saba hupati.
 
Udikteta wa chadema umehamia hadi kwa wafuasi wake, yaani yeyote anaetoa mawazo kinzani, anaehoji anavuliwa uanachama hapo hapo. Badilikeni wadau Chad email haiongozwi na malaika nayo ina madudu yake. Utafikiri mmelogwa acheni siasa za unazi
 
Wew mnafiki mkubwa post zako nyingi umejipambanua kuwa ni act sasa hivi unajiita mwanachadema embu acha unafiki wewe chadema tuachie tunaojitambua nyie mfuateni -------- wenu shida nin

😡

Mkuu,

Ukitaka kuliandika hilo jina unapaswa uliandike Ayya.to.llah

Jina hilo tangie lihusishwe na Zitto naona limewekwa katika maneno yasiyotakiwa JF.

Nadhani moderators ni Team Zitto.
 

Hii ingekuwa posti dhidi ya ACT mods wangekuwa wameitoa. Angekuwa amesemwa Zitto na tabia za kubadili wanawake wangeingilia kati haraka. Ujinga wa ma-ACT, WAKO KIMYA.
 
Brother wa nyang'wale sionii kama kuna hoja yoyote uliyopost ni vizur ukawa msikilizaji kama huna hoja tundwizii. Kumtaja mtu kama Mtei na Bob Majani kwenye chama si kitu kigeni maana wao ndioo waasisi na waaanzilishi wa chama makini cha CHADEMA. Swala la kuoa na kuolewa mbona lipo ata kwenu CCM au hujui hili tukupashee.
 
Umeona kuwa Mtei aliacha ugavana mwaka 1974 wakati huo Mbowe alikuwa na umri was miaka 13, sasa unawezaje kuunganisha jambo hilo? Wakati mwingine muone aibu kuanzisha madam za kizuzu
 
Tufanye kwamba yote uliyoandika hapo ni KWELI na wanachadema wanayajua. Jenga bas hoja yako sasa. Haitoshi tu kuuliza WHY? Onyesha uhusiano wa hizo hoja na performance, growth au downfall ya chadema kama taasis. Nakuskiliza
Kama ni kweli kuna HAJA gani kuwapeleka CHADEMA IKULU Ilhali hakuna tofauti ya CHADEMA na CCM !!Na huo ukombozi wanaoimba kila siku viongozi wangu wa Chama na kutukaririsha vibwagizo ni nini hasa?
 
Watu wa aina yako mko mstari wa mbele kutaka mabadiliko ila wakati huo huo mkiwa wafitini na wanafiki wakubwa....huna lolote unatafuta tu kuona hisia za watu hapa!
Ndugu @horseshoe unafikiri...."Watanzania wanataka tu MABADILIKO amma MABADILIKO Yenye TIJA"!!Kama ni mabadliko yenye TIJA Unahisi yanapatikana CHADEMA????Na kama ni ndio unadhani kwanini Chama hakiaminiki mbele za Watanzania..????!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…