Mtei Express! Yachafua hali ya hewa kabla ya kufunga mwaka!

"Kamanda Mpwapwa alisema dereva wa basi hilo alikuwa kwenye mwendo kasi, hakuweza kulimudu gari hilo na kusababisha kupoteza mwelekeo kwa kutoka nje ya barabara na kuingia porini ambapo liliparamia kuta na mifereji iliyopo pembeni mwa barabara hiyo.

AMajeruhi walikimbizwa kwenye hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.

Mpwapwa alisema Jeshi la Polisi linamshikilia dereva wa basi hilo, kwa mahojiano zaidi kabla ya kupelekwa Mahakamani kujibu tuhuma."

Kwa hiyo ni wazi kwamba siyo tairi bali ni mwendo kasi. Matajiri na polisi watatumaliza
 
Ili angalau tuwe salama, narudia, serikali ipige marufuku mabasi/magari kusafirisha watu! wakitaka watumie punda, ngamia, farasi baiskeli au watembee kwa miguu, terms of reference - kuondolewa/kutimuliwa wakazi waishio mabondeni kwa kitisho cha kujeruhiwa/kuharibiwa mali/kuuwawa. kama yanavyofanya magari!!
 
Mkubwa!
Hata usafiri jamii ya Toyo ingefungiwa kbs!
Achaga tuswage kwa miguu yetu miwili mpk kieleweke!

Hatuwezi kupotelewa na Ndg,Jamaa na Marafiki kwa ajili ya uzembe wa serikali iliyojaa rushwa mpaka mauti inatukuta!

MIMI NITAHAMIAGA SUDAN KUSINI TU
____________________________________________________
 
"Kamanda Mpwapwa alisema dereva wa basi hilo alikuwa kwenye mwendo kasi, hakuweza kulimudu gari hilo na kusababisha kupoteza mwelekeo kwa kutoka nje ya barabara na kuingia porini ambapo liliparamia kuta na mifereji iliyopo pembeni mwa barabara hiyo.

AMajeruhi walikimbizwa kwenye hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.

Mpwapwa alisema Jeshi la Polisi linamshikilia dereva wa basi hilo, kwa mahojiano zaidi kabla ya kupelekwa Mahakamani kujibu tuhuma."

Kwa hiyo ni wazi kwamba siyo tairi bali ni mwendo kasi. Matajiri na polisi watatumaliza

Habari nilizonazo ni kwamba kuna majeruhi zaidi ya 55!
Ama kweli sekta lengwa imejisahau kikazi kabisa!
 
Dah! pole kwa majeruhi wote, mungu awajilie afya njema mapema wote waliumia kwenye hiyo ajali
 
Back
Top Bottom