Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,926
- 7,747
- Wakuu samahani sana naomba kuuliza swali kidogo tu na linaweza kua nje ya mada, hivi kwa standard za ufisadi sasa hivi katika nchi yetu Tanzania, Mzee Mtei binafsi, hawi fisadi pia?
- I mean mali yote aliyonayo ambayo aliikusanya akiwa katika uongozi mbali mbali wa taifa letu, ni kweli haina ufisadi kabisaaa? Kama inayo anapata wapi moral authority ya kum-lecture rais wetu wa sasa kuhusu ufisadi wakati yeye ni mmoja wa waanzilishi wa ufisadi, kama sikosei katika taifa letu, au?
- Ninafahamu kwamba aliwahi kufanya kazi nje, lakini hivi mbona hata wakina Dk. Salim, waliwahi kufanya kazi nje lakini hawana mali za ajabu kama za huyu Mzee wetu muhasisi wa upinzani nchini?
- Ahsanteni Ndugu Zangu na Pasaka njema Sana.
William.
Mzee Wa Glasgow ni nani? Interested Observer
Ni Kingunge Mwizi
Asha
W. J. Malecela,
Mkuu wangu, mbona unataka kutuchanganya akili hapa.. iweje Mzee Mtei awe ktk kundi la Mafisadi wakati mtu huyu aliacha hata madaraka ya kuitumikia serikali kwa sababu ambazo unaweza kusema ni Uchungu wa maslahi ya Taifa...madaraka ambayo ni wachache sana wangeweza kufikia maamuzi kama hayo kwani upo sehemu nyeti (ya fedha), unapata huduma zote bure pamoja na heshima kubwa ya Uheshimiwa..Wangapi wameweza kufanya hivyo ktk historia ya nchi yetu..
Hakika leo hii mimi naweza kumwita Mzee Mtei shujaa kwani aliweza kusimama kupinga Ujamaa wakati sisi sote tulimwona mchawi na angeweza kabisa kukaa kimya na kuendelea kuvuta mshahara mnono ktk mfumo usioweza kuendeleza nchi kiuchumi... At the end of all that - He was RIGHT!, leo hii tunambeza tena jamani!
Naweza kumwita Shujaa kwa sababu pamoja na upinzani wake wa mfumo wa Ujamaa ktk maswala ya Uchumi, Mtei hakuwa mpinzani wa itikadi nzima ya Ujamaa na hakuthubutu kutafuta njia za mkato kupata Umaarufu kama vile kujaribu kuipindua nchi..badala yake alikuwa mmoja kati ya waasisi wa vyama vya Upinzani nchini..
Mkuu, mafisadi ni watu wanaoliibia Taifa letu, Wahujumu wa Uchumi wetu, watu ambao wanatumia madaraka au mali za Taifa kwa faida zao binafsi..Ni waharibifu wa mipango yote ya maendeleo ya nchi yetu kwa faida zao binafsi au familia zao..
Mkuu, nadhani kati ya watu ambao wanastahiri heshima kubwa nchini huyu babu ni mmoja kati yao..Kuchuma fedha au utajiri wowote ambao hautokani na kuliibia Taifa letu hauwezi kuwekwa ktk fungu la Ufisadi..
- Wakuu samahani sana naomba kuuliza swali kidogo tu na linaweza kua nje ya mada, hivi kwa standard za ufisadi sasa hivi katika nchi yetu Tanzania, Mzee Mtei binafsi, hawi fisadi pia?
- I mean mali yote aliyonayo ambayo aliikusanya akiwa katika uongozi mbali mbali wa taifa letu, ni kweli haina ufisadi kabisaaa? Kama inayo anapata wapi moral authority ya kum-lecture rais wetu wa sasa kuhusu ufisadi wakati yeye ni mmoja wa waanzilishi wa ufisadi, kama sikosei katika taifa letu, au?
- Ninafahamu kwamba aliwahi kufanya kazi nje, lakini hivi mbona hata wakina Dk. Salim, waliwahi kufanya kazi nje lakini hawana mali za ajabu kama za huyu Mzee wetu muhasisi wa upinzani nchini?
- Ahsanteni Ndugu Zangu na Pasaka njema Sana.
William.
Bwana William,
1) Ifuatilie historia ya Mzee Mtei, alianzia na kupitia wapi kufikia sasa.
2)Mwalimu angeweza kumkabithi usimamizi wa BOT au Wizara ya fedha, wakati Mzee Mtei mwenyewe hakuwa na uwezo hata wa kutunza kipato chake?
3)Aliyekudanganya kuwa SAS hana fedha ni nani. Kwa sababu hajichani kama wazee wengine mtaani haina maana ni masikini.
W.J.Malecela,
Mkuu labda hatuelewani.. ni wewe uliyezungumzia Utajiri, ni wewe uliyeanza na kuuliza hizo fedha kazipata vipi?..Hivyo jibu lanfgu halihusiani na utajiri wowote ule isipokuwa Mtei alizipata vipi fedha zake, na kuwa nazo fedha hakuwezi kuondoa sababu ya Ufisadi kwani Mtei anaweza kuwa fisadi leo hii akiwa tajiri..
Mkuu ni vizuri tukaelewana hapo kwanza ili tusitoke nje ya mada..
Bahati mbaya Balali kafariki wakati wote hatujui what happened with the BOT money; hivi sielewi hata the cause of his death; you may guess! Lakini kitu kibaya kuliko vyote duniani is "to sleep with a devil"; meaning, unajua kabisa unasema uongo, lakini wewe unataka watu waelewe kuwa ni ukweli. Kama hawa wazee wetu tunaowaita Waasisi wangepangana vizuri hata ufisadi wa Balali tungejua ulitokanaje. Mjomba; kitu kibaya and vanity is why we sleep with the devils"; halafu unajua mtu ukisoma kama mzee wetu wa Glas inabidi uwe "country first"; siyo unakuwa haueleweki; je uko "country au upo kwa "mafisadi first" unajua hata uongo ukisemwa mara mia, wanaosikiliza mara mia watasema huu ni ukweli. Believe me mzee wetu lazima naye yumo kwenye "payroll".- Mkuu mmoja huko juu unayedai Mtei ni shujaa vipi Balali naye au naye ni shujaa? Maana huyo mzee wako wa glas je ni fisadi naye kama Balali? si ungesema ukweli kwanza kuhusu Balali halafu ndio uzungumzie wanaolala na devil jinsi walivyoliibia taifa kama Balali au?
- Mnaotaka ushahidi vipi mkitoa ushahidi wa mafisadi mnaowadai ndani ya CCM?
- Eti Mtei ni shujaa?
Bahati mbaya Balali kafariki wakati wote hatujui what happened with the BOT money; hivi sielewi hata the cause of his death; you may guess! Lakini kitu kibaya kuliko vyote duniani is "to sleep with a devil"; meaning, unajua kabisa unasema uongo, lakini wewe unataka watu waelewe kuwa ni ukweli. Kama hawa wazee wetu tunaowaita Waasisi wangepangana vizuri hata ufisadi wa Balali tungejua ulitokanaje. Mjomba; kitu kibaya and vanity is why we sleep with the devils"; halafu unajua mtu ukisoma kama mzee wetu wa Glas inabidi uwe "country first"; siyo unakuwa haueleweki; je uko "country au upo kwa "mafisadi first" unajua hata uongo ukisemwa mara mia, wanaosikiliza mara mia watasema huu ni ukweli. Believe me mzee wetu lazima naye yumo kwenye "payroll".
Ni Kingunge Mwizi
Asha
au unakuta mzee anajenga haraka haraka wakati akiwa anataka kustaafu unashindwa kuwelewa kwa nini hakufanya hivyo siku zote
wazee wengi wamekufa sana baada ya kustaafu
jamani hii inasababishwa na kipato au watu kuwa boored na kutokujuwa wafanye nini ili mda uwende
au ni shock to the system ndio inawauwa
embu nisaidieni kimawazo kwa hili...