Ndugu zangu!
kwa upole kabisa naomba kuwathilisha mbele yenu jambo hili, hili linathibitisha kauli kwamba.
Katika vitu vinavyotizamwa sana mjini siku hizi ni makalio kalio imekuwa gumzo, kama makalio ya mwanamke yangekuwa yanapofusha macho mtu anapoyatizama, wenye macho wangebaki masheih, wachungaji na mapadre tu.
Wengine wote tungekuwa vipofu, maana watu wamekuwa na ugonjwa kama Traffic-kusoma namba za magari. Sasa kwakuwa imekuwa ni dili kuwa na makalio, basi wadada cku hizi chupi za kuongeza makalio na sidilia za maziwa ndo imekuwa kimbilio, wapo wanaochoma sindano au kupaka, ila wengi cku hizi wanavaa hizi chupi, tena wengine ni wanye heshima zao kabisaa, SASA leo katika kupita njia nilishangaa kuona duka moja maeneo ya mbagala limejaa wadada, nilipochungulia nikaona wanamsumbua muuzaji, nishushie ile, shusha ile, daah kwakweli mambo haya nilikuwa nayasikia tu. ikabidi nimwite mdada mmoja pembeni na kumhoji kwa upole, samahani dada hivi hizi chupi zinawasaidia kweli?
Na je, haziwaumbui kweli mnapokutana na mabwana zenu? nikajibiwa hivi; Kaka sikia nikwambie kitu, kwanza hizi chupi ni ngumu mtu kukusitukia kirahisi, kwani hata akishika tako zinasponji mfano wa tako halisi, halafu zinasaidia sana kumchuna mtu kabla hujampa mzigo, na ikitokea siku unaenda kumpa ni lazima uvae DILA/GAUNI KUBWA ili asikustukie, na pengine usiku kabisa na ikitokea mtu akafika bei siku hiyohiyo mtoke naye, hapo ndipo huwa kuna mtihani lakini lazima utafte njia ya kumpanga,either kwa sababu ya kuwa kwenye tarehe mbaya n.k hayo yalikuwa maneno ya dada ambaye ni mteja wa chupi za makalio.
Wanaume kazi tunayo, Naomba serikali itokomeze hizi chupi bandia kwani zinachangia ongezeko la kushawishi ngono na hazifai kwa maadili ya watoto wetu.