Mtego wa Mbu, Eneo la Eka 1

Mtego wa Mbu, Eneo la Eka 1

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
​
Hebu fikiria ukinunua huu mtego sio tu utakuwa umejikinga wewe na watu wa nyumba yako na mbu bali huenda ukawa umeunusuru mtaa mzima na malaria, adha ya sauti za mbu pamoja na vijipele vya kutafunwa nao. Dynatrap imetengenezwa maalum kwa ajili ya matumizi ya nje badala ya ndani ya nyumba kwa hiyo kwa wale wapanda milima, wakaa maskani, waweka kambi na kadhalika wao hasa ndio walengwa wa Dynatrap. Hata hivyo kwa matumizi ya nyumbani inafaa kwa zile nyumba zilizozungushiwa uzio.

Dynatrap ina taa aina ya florecent mbili ambazo huzalisha moinzi ya ultraviolet, mionzi hii hukutanishwa na gamba aina ya titanium dioxiding liliwekwa kwenye mtego huu na hivyo mchanganyiko huu huzalisha gesi aina ya carbon dioxide ambayo ndio hasa inayowavutia mbu na baadhi ya videde vingine vinavyoruka, harufu itokayo katika kijigajeti hichi ni sawa na ile ya binadamu anapopumua na kutoa gesi ya CO[SUB]2[/SUB] ambayo wadudu hawa ndio huvutika nayo.

Sasa ni vipi mbu au wadudu wengine hunaswa na mtego huu baada ya kuvutika na harufu hii? Dynatrap ina kijifeni fulani ambacho kina nguvu za kutosha cha kuwavuta wadudu wanapoikaribia,

baada ya kuvutwa huingizwa kwenye neti ambapo hubaki humo mpaka wanapokufa. Ingawa kuna mitego mingi ya namna hii lakini kilichotuvutia kwenye mtego huu ni ule uwezo wa kuvutia wadudu

katika eneo la mraba la eka nzima. Pia kivutio chengine ni kule kutokutumia kemikali zozote ambazo kwa kawaida hutoa athari fulani ama kwenye mazingira au binadamu mwenyewe. Bei ya

mtego huu ndio tatizo, ni $199.95 za Marekani sio za Zimbabwe. Iwapo unataka kuuagiza mtego huu jina lake kamili ni One Acre Natural Attractant Mosquito Trap. Kama hizi fedha ni nyingi unaweza kujaribu kupigisha donation mtaani. Ni wazo tu.
gajetek habari: Mtego wa Mbu, Eneo la Eka 1
 
I saw this a while back on Discovery channel kuna this one show called 'How it works' i think! Also kuna chemicals inside which emit compounds contained in human sweat which fools the mosquitoes some more into coming close, pia nlioiona ina addition of a small gas burner which does two things, trick the bugs into thinking its an animal(body heat) , 2nd wakishakua sucked inside burner inawachomelea mbali. Cool piece of technology!!
 
I saw this a while back on Discovery channel kuna this one show called 'How stuff works' i think! Also kuna chemicals inside which emit compounds contained in human sweat which fools the mosquitoes some more into coming close, pia nlioiona ina addition of a small gas burner which does two things, trick the bugs into thinking its an animal(body heat) , 2nd wakishakua sucked inside burner inawachomelea mbali. Cool piece of technology!!

duu hadi huku na wewe unakujaga..
 
...............................​
Dynatrap ina taa aina ya florecent mbili ambazo huzalisha moinzi ya ultraviolet, mionzi hii hukutanishwa na gamba aina ya titanium dioxiding liliwekwa kwenye mtego huu na hivyo mchanganyiko huu huzalisha gesi aina ya carbon dioxide ambayo ndio hasa inayowavutia mbu na baadhi ya videde vingine vinavyoruka, harufu itokayo katika kijigajeti hichi ni sawa na ile ya binadamu anapopumua na kutoa gesi ya CO[SUB]2[/SUB] ambayo wadudu hawa ndio huvutika nayo.

Sasa ni vipi mbu au wadudu wengine hunaswa na mtego huu baada ya kuvutika na harufu hii?.............

Ahsante kwa taarifa mkuu....

RED: mimi nadhani mbu kuna vitu vingine vya ziada ambavyo wanavifuata kwa binadamu siyo ges ya CO2 pekee; sababu hasa ya kudhani hivyo ni kuwa kwa elimu ndogo niliyonayo ya mambo ya kibaiolijia kwa viungo vya binadamu vinavyotumika kutoa gesi hiyo mwilini vinajulikana,bado(katika kuishi kwangu katika mazingira ya mbu) sijawahi kuona mbu hao wanarudikana (concetrate) kwenye viungo hivyo. mfano zijawahi ona mbu wana shambulia pua kwa wingi wakifuatilia CO2.

Naomba ufafanuzi zaidi kama nimeelewa soma lako visivyo juu ya mbu kuvutiwa na gesi ya CO2 kutoka kwa binadamu.
 
duu hadi huku na wewe unakujaga..
ndetichia humu ndo full time, kule kwingine nakujaga part time 2, nikuulize wewe umefikaje huku 😀

  • A%20S%20shade.gif
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa taarifa mkuu....

RED: mimi nadhani mbu kuna vitu vingine vya ziada ambavyo wanavifuata kwa binadamu siyo ges ya CO2 pekee; sababu hasa ya kudhani hivyo ni kuwa kwa elimu ndogo niliyonayo ya mambo ya kibaiolijia kwa viungo vya binadamu vinavyotumika kutoa gesi hiyo mwilini vinajulikana,bado(katika kuishi kwangu katika mazingira ya mbu) sijawahi kuona mbu hao wanarudikana (concetrate) kwenye viungo hivyo. mfano zijawahi ona mbu wana shambulia pua kwa wingi wakifuatilia CO2.

Naomba ufafanuzi zaidi kama nimeelewa soma lako visivyo juu ya mbu kuvutiwa na gesi ya CO2 kutoka kwa binadamu.

if i may assist, mbu kumpata victim wake anatumia 3 things. 1st of ni CO2 gas, 2nd ni body heat, na 3rd ni Odor. So mbu atavutiwa kusogea sehemu yenye high conc of CO2 akifika kama ni human atadetect harufu ya jasho lako ambacho kitamfanya avutiwe zaidi na kuendelea kuzunguka karibu, tatu ni body heat hii ndo inamfanya agundue position ya animal na agundue kua hapa katua juu ya shati au mkono. Remember mbu hawawezi jaa puani as you said since yeye hana shida na CO2 bali anatumia CO2 kujua uko wapi. Hope its some help...
 
Cool!! Where to get it from, pls?
Mkuu Mawenzi ukitaka hebu tembelea hapa The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap - Hammacher Schlemmer

The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap.

This trap attracts and kills mosquitoes across one acre without harmful chemicals. The trap mimics the natural conditions of human habitation by emitting heat and odorless carbon dioxide (the same gas people expel during

respiration) and light to lure mosquitoes. Carbon dioxide is generated when ultraviolet rays from two fluorescent bulbs react with a titanium dioxide coating inside the trap. When the mosquitoes are drawn inside the device, an integrated

fan traps the insects and sends them to a removable net where they die of dehydration. Unlike propane systems that require frequent refills or electrocution traps that release pathogens when an insect is killed, this superior model uses 5,000-hour rated UV bulbs and does not create biological agents. Plugs into AC. 22" H x 13" Diam. (9 lbs.)

Reviews

The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap comes with The Hammacher Schlemmer Lifetime Guarantee at no additional charge. If this product ever disappoints you, for any reason, you may return it for exchange, credit, or refund.

Should you have any questions, we are available 24 hours a day, seven days a week. Please call 1-800-321-1484 to speak with a product specialist or email us at customerservice@hammacher.com to receive a response within one hour.

Item 81846

Price $199.95

Last edited by a moderator:

old memories, umenkumbusha mbali when i used 2 watch this!! i loved this show(yeah i'm geeky and i know it), loads of cool gadgets were being shown there.
 
Last edited by a moderator:
I saw this a while back on Discovery channel kuna this one show called 'How it works' i think! Also kuna chemicals inside which emit compounds contained in human sweat which fools the mosquitoes some more into coming close, pia nlioiona ina addition of a small gas burner which does two things, trick the bugs into thinking its an animal(body heat) , 2nd wakishakua sucked inside burner inawachomelea mbali. Cool piece of technology!!
Duh!Nikisema huyu jamaa hajui kiswahili vizuri, ataona namsifia, na nikisema ni msomi sana hajui atumie lugha ipi pia nitakuwa nimemsifia sana, ila nikisema huyu jamaa hajui kiingereza ndiyo maana anaweka na kiswahili, lazima anitukane, na nikisema huyu jamaa sio mswahili ila anajitahidi kuweka na kiswahili pia naweza nikawa nimemuudhi zaidi kwa kuwa nimeleta ubaguzi.sasa lipi ni lipi?
 
hahaha as they say, Vad gör dig lycklig
 
Mkuu Mawenzi ukitaka hebu tembelea hapa The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap - Hammacher Schlemmer

The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap.

This trap attracts and kills mosquitoes across one acre without harmful chemicals. The trap mimics the natural conditions of human habitation by emitting heat and odorless carbon dioxide (the same gas people expel during

respiration) and light to lure mosquitoes. Carbon dioxide is generated when ultraviolet rays from two fluorescent bulbs react with a titanium dioxide coating inside the trap. When the mosquitoes are drawn inside the device, an integrated

fan traps the insects and sends them to a removable net where they die of dehydration. Unlike propane systems that require frequent refills or electrocution traps that release pathogens when an insect is killed, this superior model uses 5,000-hour rated UV bulbs and does not create biological agents. Plugs into AC. 22" H x 13" Diam. (9 lbs.)

Reviews

The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap comes with The Hammacher Schlemmer Lifetime Guarantee at no additional charge. If this product ever disappoints you, for any reason, you may return it for exchange, credit, or refund.

Should you have any questions, we are available 24 hours a day, seven days a week. Please call 1-800-321-1484 to speak with a product specialist or email us at customerservice@hammacher.com to receive a response within one hour.

Item 81846

Price $199.95

Ahsante sana MziziMkavu. Tatizo kkwa wabonngo ni jinsi ya kupata forex. Je hakuna local dealer hapa bongo??
 
Mkuu Mawenzi Sijuwi kama hapo Tanzania hizo zimeshafika? ngojea Wadau wengine huenda tukampata mtu anaye na anaweza kutueleza wapi zinapatikana? mimi ninazidi kufuatilia kisha nitakupa feedback inshallah.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom