Mtego wa house girl

we ulitaka avae magunia au akae jikoni muda wote ili hali ashamaliza kupikaaa.......nature at work...lazima aoneshe uwepo wake..ungekula alafu unampa nauli aende omeee
 
Kuna jamaa yangu mmja ana house girl wake ana chura balaaa alafu kiuno kama dondora Sema dem mwenyewe kuku wa kienyeji
Jamaa naona anajitahidi kukazaaa naona uzalendo ushaanza mwishia

Ova
kuku wa kienyeji ndio watamu ale tuu
 
M naona mapicha picha sidhani kama kuna ukweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huko safarini ulikijua alichokuwa anakifanya mkeo?
Hayo mambo ya kusemeleana ni Yakitoto Sana

mimi hapo nahisi wife wako ndiye kakuwekea mtego huo kumleta hausigeli ili akupe fumanizi

Wewe hii story umeiedit usibishe kuna kitu umeficha

we ulitaka avae magunia au akae jikoni muda wote ili hali ashamaliza kupikaaa.......nature at work...lazima aoneshe uwepo wake..ungekula alafu unampa nauli aende omeee

Huko safarini ni mojawapo ya kugawana majukumu tu ya kukimbiza maisha, kwani sisi tayari tumeshakuwa wahenga,


Kuhusu kuniwekea mtego wife, haiwezekani sababu sisi wote umri umeshatuacha, ni juzi mwezi wa 9 tumetimiza miaka 26 ya ndoa yetu.

Kuhusu kukaa sebleni, hakatazwi kukaa, bali mavazi yake ndio shida, hata watoto wangu wenyewe wakiwepo nyumbani hawawezi kupita mbele yangu na kanga 1, wala mimi siwezi kukaa mbele ya watoto wangu wa kike kifua wazi, huo ni utamaduni wangu.
 
Jamani Nina haousegirl matata home hapa nipo abroad nawaza tu siku nikirudi itakuwaje maana nimeacha tunda limeiva vizuriiii... Siku kabla sijaondoka nilijaribu kumshika mkono hiviii duh yaani lainiiii kama unanawa...
 
Kama ni kweli Mungu aendelee kukutunza rafiki.
 
Yaaani unaacha kutafuna kitu laini?haina alama hiyo huo ubwege
 
Uongo huo.... Vibeki tatu gni vya kufanya hvyo siku hizi hali ya kuwa we ni baba halisi mwenyw nyumba.. Umepakuwa vizuri....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…