Mtego wa house girl

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
247
Habari wakuu, hatimae nimenusurika aibu,

Ni masiku machache tu yamepita, tulipata house girl kwa ajili ya kutusaidia kazi za nyumbani, ukizingatia sisi wote ni watu wa kusafiri safiri, na nyumbani kulikuwa na mtoto shemeji yangu,sasa tukampata mdada wa kuwepo nae nyumbani ikiwa tutasafiri wote.

Kibaya zaidi tulipompata huyu msichana tulikaa nae nyumbani kwa siku 2 tu then mke wangu akasafiri, hivyo aka way bado hajamsoma hata tabia yake.

Sasa baada ya wife kusafiri nikaaza kumuona yule house girl anaanza mabadiliko, wakati mwingine ananifuata sebleni anakuja na kanga 1 tu halafu anakaa karibu na mimi, yaani mitego ikawa mingi, mpaka wakati mwingine anapandisha kanga juu ya mapaja kabisa karibu na njia panda, nikashindwa kuvumilia nikampigia simu mke wangu, nikamwambia msichana wake nampa hela anazodai za siku alizokaa namfukuza, ila sikumwambia sababu, yule msichana nikamtoa kweli.

Sasa wife karudi safarini, yule mtoto mdogo ambae ni shemeji yangu ndio kamweleza wife kwamba yule dada alikuwa anampango wa kunidhalilisha mimi, yaani anishawishi nimle halafu apige kelele mtaani kwamba nimembaka.

“Kweli waliopo jela sio wote wanahatia “
 
mimi hapo nahisi wife wako ndiye kakuwekea mtego huo kumleta hausigeli ili akupe fumanizi
 
Kuna jamaa yangu mmja ana house girl wake ana chura balaaa alafu kiuno kama dondora Sema dem mwenyewe kuku wa kienyeji
Jamaa naona anajitahidi kukazaaa naona uzalendo ushaanza mwishia

Ova
 
Hakuna Sheria iliyopitishwa kuwa kula beki 3 ni Jela miaka 30
naye ni binadamu ana hisia joto humpanda kwani wengi wana miaka 18+
ni ujinga kumtoa kazi wakati kwao una shida
siku hizi jamani ajira ni shida
unaweza kuta jamaa aliomba mchezo akaambiwa asubiria kipindi cha pili ataingia akaona isiwa tabu AKAMTIMUA
sasa huyo mtoto wa shemeji naye akiondoka wasiajiri tena maH/girl
kwani hamuwasaidii lolote wakati wenyewe wapo kwa ajili ya misaada km hiyo
 
Tako 50,wazungu mwaaa,mlango was Segerea ukafungwa mbang!! Ukitoka ,Kabwili Kawa Mzee Akilimali
Hahaa Tako 50 zote hizo !!! unachimba dhabu au makinikia
 
Kuna jamaa yangu mmja ana house girl wake ana chura balaaa alafu kiuno kama dondora Sema dem mwenyewe kuku wa kienyeji
Jamaa naona anajitahidi kukazaaa naona uzalendo ushaanza mwishia

Ova
Mkuu huwa unakuja nyumbani kunichora sio? Hahahaha.... umenigusa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…