Mtego mkubwa CHADEMA, wameatamia bomu, kulipuka 2020

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,371
Reaction score
1,864
Hizi halmadhauri walizozishika mwaka huu. Zitatumika Kama reference mwaka 2020.Kama chadema hawatakuwa makini wala kuonyesha utofauti wowote katika halmashaur hizo, wananchi watawaona chadema Kama ndo walewale kulwa na doto na ccm. Watawarudisha ccm na hawatataka tena kuwasikia chadema. Ila Kama halmashauri hizo zitaongozwa vizur watu watawaamini zaidi. wagombea urais ubunge na udiwani watatumia kete hiyo kushinda.

Chadema iandae utaratibu maalumu kufatilia halmashauri walizoshika. Wanaweza kujiwekea malengo yao kwa muda Fulani na kuwa na utaratibu maalumu wa kufatiliana na kuwajibishana. Vinginevyo hilo ni Bomu mmeatamia.
 
Ingefaa zaidi ukazitaja hizo halmashauri na manispaa ili tuzijue.
 
Hapa tena naona Jina ukawa limeanza kuwa na ukakasi vp kuhusu pale halmashauri ya jiji la tanga lililopo chini ya cuf au ndo ukawa umekufa nn.
 
Njia pekee ya kujitafutia ushindi wa kura halali za wananchi ni kutetea maslahi ya walio wengi!
CCM inachukiwa na wananchi wenye uelewa kwa sababu ya kutetea maslahi ya wachache (kashfa za escrow, EPA etc ni baadhi tu ya mifano).
Kazi kubwa iliyo mbele ya vyama vyote sasa ni kupinga ufisadi kwa vitendo na siyo maneno.
Ushahidi wa waliokwapua fedha za uma huko nyuma uwasilishwe bungeni tena kupitia kwa wabunge watetezi wa maslahi ya uma (jinai haina muda maalum wa kushitakiwa), kama serikali ya Magufuli ina nia ya dhati ya kupambana na ufisadi, ushahidi huo unaweza kutumika kupitia upya uchunguzi uliofanyika.
Hata kama serikali itaendelea kuwatetea wahalifu hao, wananchi watapata taarifa sahihi kwa ajili ya maamuzi ya uchaguzi utakaofuata.
Jambo la msingi la kumshukuru Mungu ni kwamba ujinga unapungua siku hadi siku na vivyo hivyo kukua kwa demokrasia!
 
Hizi halmadhauri walizozishika mwaka huu. Zitatumika Kama reference mwaka 2020.Kama chadema hawatakuwa makini wala kuonyesha utofauti wowote katika halmashaur hizo, wananchi watawaona chadema Kama ndo walewale kulwa na doto na ccm. Watawarudisha ccm na hawatataka tena kuwasikia chadema. Ila Kama halmashauri hizo zitaongozwa vizur watu watawaamini zaidi. wagombea urais ubunge na udiwani watatumia kete hiyo kushinda.

Chadema iandae utaratibu maalumu kufatilia halmashauri walizoshika. Wanaweza kujiwekea malengo yao kwa muda Fulani na kuwa na utaratibu maalumu wa kufatiliana na kuwajibishana. Vinginevyo hilo ni Bomu mmeatamia.

Halmashauri yamoshi / karatu ipo chini ya upnzani miaka yote hiyo mbona mimi siona cha maana ,kupima ardhi tu imewashinda
 
Labda mkuu TRUVADA utusaidie hapa kama kweli huoni cha maana walichofanya, mbona wana Karatu miaka yote hiyo wameendelea kuchagua Chadema kwa kishindo?
 
Hizi halmadhauri walizozishika mwaka huu. Zitatumika Kama reference mwaka 2020.Kama chadema hawatakuwa makini wala kuonyesha utofauti wowote katika halmashaur hizo, wananchi watawaona chadema Kama ndo walewale kulwa na doto na ccm. Watawarudisha ccm na hawatataka tena kuwasikia chadema. Ila Kama halmashauri hizo zitaongozwa vizur watu watawaamini zaidi. wagombea urais ubunge na udiwani watatumia kete hiyo kushinda.

Chadema iandae utaratibu maalumu kufatilia halmashauri walizoshika. Wanaweza kujiwekea malengo yao kwa muda Fulani na kuwa na utaratibu maalumu wa kufatiliana na kuwajibishana. Vinginevyo hilo ni Bomu mmeatamia.

Kama hawajapata funzo la Musoma Mjini hawatakuja waelewe kamwe.
Kichapo alichotoa Mathayo kwa Vincent kilitokana na mambo haya haya unayoongelea.
 
jiji kama la dar ni mtaji mkubwa sana kwao wanaweza wakafanya mambo ya kawaida sana tofauti na ilivyokuwa mwanzo na ukaonekana ni usimamizi makini sana unajua suala la kuwanyanyasa walala hoi ndio huzalisha chuki zote.
 
Kama hawajapata funzo la Musoma Mjini hawatakuja waelewe kamwe.
Kichapo alichotoa Mathayo kwa Vincent kilitokana na mambo haya haya unayoongelea.

Kichapo gani?kichapo cha kuhesabu kura kwa mara ya pili?
 
Back
Top Bottom