Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,900
- 12,215
Mnajidanganya Chadema ni LEVEL tofauti kabisa na mbogambogaKuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over
Imani mkuu, vipi kama chadema watapitishiwa mtonyo wamkane Lissu kuwa hana sifa. Imani dhidi ya raia ipo tena hapo?Kwani chadema ni mtu au ni imani?
Huyo heche mwenyewe ccm wanamwogopa kuliko kwa misimamo yakeKuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over
Sio kwamba ndiyo wewe sasa umeanzisha tuhuma hizi...?
Kwani mnatumia kipengere gani cha katiba ya CHADEMA ktk kuhalalisha madai yao...?
Freeman Mbowe alikaa gerezani kwa "tuhuma za uongo za ugaidi" miezi karibu 9 lakini hamkuwahi kujaribu kuleta umbea wenu huu...
Mbinu ileile iliyomweka Freeman Mbowe miezi 9 gerezani kwa tuhuma za uongo za ugaidi wa kutengenezwa ofisini na CCM wakishirikiana DCI na DPP ndiyo mbinu hiyo hiyo imetumiwa sasa na hayawani hawahawa dhidi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa sasa wa CHADEMA..
Tofauti ni muda tu waliokaa gerezani. Huyu kakaa mwaka sasa plus. Freeman Mbowe hakumaliza mwaka, akauza roho na utu wake kwa waliomtesa. Lissu, si wa kariba hiyo, kamwe hawezi ku - compromise na hayawani hawa waovu ktk uovu wao. This absolutely perfect good 👍 👍 for Tundu Lissu!!
Ndio tu kama mwaka 1 na miezi minne Yuko ofisini kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Bado ana miaka karibu mitatu na nusu kidogo. Subirini hadi wakati huo, sanduku la kura lije liwape haki hiyo tena japo, kama Mungu Yehova akiendelea kumpa uhai na afya, hakuna mtu wa kumtoa Lissu kwenye Kiti hicho akigombea tena awamu ya pili..
Si Freeman Mbowe wala nani. Huyu Freeman Mbowe is gone. Aliamua mwenye kuuza utu na reputation yake kwa vipande vya fedha...
He's gone just like one of the Jesus Christ's disciples Judah who betrayed him for money that marked the end of his life physically & spiritually..
Huyo ndiye Freeman Mbowe...
Poor analysis,Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over
Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over
Gentleman,Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over
Acha wailazimishe ile unyanyasaji wa haki uliopelekea mo 29 kwa kasi ili wazidi kuyapata manufaa waliyoyapata!Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over
joseph selasini awe mwenyekiti wa chadema kwa ridhaa ya nani? Bora ungesema heche ungeeleweka. Selasini hana msimamo wa kueleweka, haaminikiGentleman,
ndugu,
Joseph Selasini anakwenda kuziba pengo la mwenyekiti wa chadema taifa as soon as possible,
so,
kuweni wastahimilivu na wenye subra tafadhalini sana
kwa mujibu wa Katiba ya chadema gentleman 🐒joseph selasini awe mwenyekiti wa chadema kwa ridhaa ya nani? Bora ungesema heche ungeeleweka. Selasini hana msimamo wa kueleweka, haaminiki
Huo siyo mtego ni ujinga wakoKuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.