Mtazamo

Mtazamo

mansuper

Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Habari zenu jf, kuna mama mmoja nilikuwa nine panda naye gari akawa anazozana na vijana wawili akiwaambia kwa nn wamevaa mlegezo,madai ya huyu mama ameishi Mombasa at anajua maana ya mlegezo unavotumika Mombasa ,iv mwanaume aliyevaa na aliyevua yupi mwanaume halisi?
 
Back
Top Bottom