Mtazamo wangu kwa mh. Edward lowasa

Mtazamo wangu kwa mh. Edward lowasa

Hivi huyu Hittler hayaoni mapungufu ya huyo EL wake?
Kwanza afya yake imezorota sana na pia umri wake umeenda mno. Kama kuutaka urais aende Zimbabwe kwani watamchagua bila kupingwa!
Yaani vijana wasomi pamoja na huyu mleta uzi japo umri wake nashindwa kuukadiria wananiacha hoi kweli! Ina maana hamna ambition or goal la kuachieve katika maisha yako zaidi ya kuwapigia wazee chapuo la kuongoza! Aibu kweli hii! Ndo maana aliwawekea shule za kata ili kuifunga akili yako ka mbuzi wa kichaga ukose exposure na kusocialize na watu tofauti na wa kwenye kijiji chako.
Tatizo mnashangilia kila kitu but hamkutafiti kilichokuwa kwenye shule za kata (malengo).
Jipiganie mwenyewe achana na vikongwe. Ni wakati wa vijana amkeni!
 
Kama nini? Teteteeeee...... Ngoja nikusaidie ila sijui nimepatia?

depositphotos_4943302-Set-of-barrier-gate.jpg

Hata uoni wake ni hafifu sana na anatembea wima kabisa kama....
 
Hivi huyu Hittler hayaoni mapungufu ya huyo EL wake?
Kwanza afya yake imezorota sana na pia umri wake umeenda mno. Kama kuutaka urais aende Zimbabwe kwani watamchagua bila kupingwa!
Yaani vijana wasomi pamoja na huyu mleta uzi japo umri wake nashindwa kuukadiria wananiacha hoi kweli! Ina maana hamna ambition or goal la kuachieve katika maisha yako zaidi ya kuwapigia wazee chapuo la kuongoza! Aibu kweli hii! Ndo maana aliwawekea shule za kata ili kuifunga akili yako ka mbuzi wa kichaga ukose exposure na kusocialize na watu tofauti na wa kwenye kijiji chako.
Tatizo mnashangilia kila kitu but hamkutafiti kilichokuwa kwenye shule za kata (malengo).
Jipiganie mwenyewe achana na vikongwe. Ni wakati wa vijana amkeni!

tunataka vijana.lowasa,slaa,sita wote ni wazee
 
Watanzania watu wa ajabu sana,hivi mara hii tumeshasahau Richmond?
 
Back
Top Bottom