Mtazamo wangu kuhusu ushiriki wa Yanga kwenye Mapinduzi mpaka hapo ilipoishia

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Wafalme wa Kandanda Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Club bingwa Africa jana walitolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Mahasimu wao Simba kwa penalt 4-2.
Ninajua kwa watu wasiokuwa wa mpira wa Yanga kipigo hicho kitakuwa kimewanyong'onyesha sana,kama ambavyo mambumbu wa Simba walivyoshangilia jana kama vile kwa kuingia fainali ya mashindano yale watakwenda kutwaa kikombe hicho na kuliwakilisha bara la Africa kwenye mashindano ya Club ya mabara.
Binafsi nitatofautiana na wengi kwani ninaona kuna faida nyingi Yanga itazipata kwa kutolewa kwenye hatua ile,hapa ninakuwekea faida 3 tu kati ya nyingi:-
1.Kombe lenyewe ni la Mbuzi,halina faida yeyote zaidi ya kuchukuliwa kama sehemu ya mazoezi,ni kwa team zile tu ambazo hazina mtiriko mzuri wa kutwaa vikombe vya maana na vyenye kuboresha CV/Club profile ndo watapambana karibia ya kufa uwanjani.
2.Kutoka ktk hatua ya nusu fainali kutaipa nafasi team ya Yanga kwenda kupumzika kidogo na kuanza mazoezi tena huku wakifanyia kazi mapungufu yote yaliyojitokeza wkt wakishiriki mashindano hayo na hivyo kuongeza kasi ya kutetea ubingwa wao wa Tz Bara na kufanya vizuri pia kwenye mashindano ya kimataifa wanayotarajiwa kuyaanza February.
3.Kuendelea kushiriki kwenye mabonanza ya aina ya Kombe la Mapinduzi kunaweza kuwa'expose wachezaji kwenye majeruhi kiasi cha kuathiri ushiriki wao kwenye mashindano ya maana,ikumbuke ni bonanza hili lilitusababishia Striker wetu Donald Ngoma aitajike kuwa nje kwa muda fulani.
Kwahiyo Wazee wa mabonanza endeleeni kupigania ubingwa wa Mapinduzi mpk jasho la damu liwatoke mkimaliza mtatukuta Bara tumalizie battle yetu ya ubingwa.
 
TAJA NA FAIDA KAMA WEWE KWELI NI MWANAUME
 
mkuu kumbe yanga imeshiriki kombe na kutolewa mapema then unasingizia vingine.Mashindano ni mashindano na kufungwa umefungwa
 
Kingine cha muhimu mashabiki wa simba wajifunze kutoka kwa mashabiki wa yanga ni KUTOKUVUNJA VITI VYA UWANJANI maana havina hatia
 
Wakati mwingine kukiri mapungufu ulio nayo ni hekima na busara kwani inaweza kukupa nafasi ya kurekebisha badala ya Sizitaki mbichi hizi.
Mbona nimeeleza bayana kuwa mapungufu yapo na ndo maana kwa kutolewa mapema benchi la ufundi litapata wasaa wa kuyafanyia kazi
 
Ni kama wanafunzi afeli mitihani aseme kusoma hadi chuo kikuu kunachosha n.a. kupoteza muda.
KAMA Yanga angeshinda hiyo Lugha kinyume chake kingelikuwa SAHIHI zaidi.
 
Lingekuwa bonanza , wanayanga wangekubali kwenda kuaibishwa namna ile ya kasi ya 4G?
 
Wafalme wa Kandanda Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Club bingwa Africa jana walitolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Mahasimu wao Simba kwa penalt 4-2.
Ninajua kwa watu wasiokuwa wa mpira wa Yanga kipigo hicho kitakuwa kimewanyong'onyesha sana,kama ambavyo mambumbu wa Simba walivyoshangilia jana kama vile kwa kuingia fainali ya mashindano yale watakwenda kutwaa kikombe hicho na kuliwakilisha bara la Africa kwenye mashindano ya Club ya mabara.
Binafsi nitatofautiana na wengi kwani ninaona kuna faida nyingi Yanga itazipata kwa kutolewa kwenye hatua ile,hapa ninakuwekea faida 3 tu kati ya nyingi:-
1.Kombe lenyewe ni la Mbuzi,halina faida yeyote zaidi ya kuchukuliwa kama sehemu ya mazoezi,ni kwa team zile tu ambazo hazina mtiriko mzuri wa kutwaa vikombe vya maana na vyenye kuboresha CV/Club profile ndo watapambana karibia ya kufa uwanjani.
2.Kutoka ktk hatua ya nusu fainali kutaipa nafasi team ya Yanga kwenda kupumzika kidogo na kuanza mazoezi tena huku wakifanyia kazi mapungufu yote yaliyojitokeza wkt wakishiriki mashindano hayo na hivyo kuongeza kasi ya kutetea ubingwa wao wa Tz Bara na kufanya vizuri pia kwenye mashindano ya kimataifa wanayotarajiwa kuyaanza February.
3.Kuendelea kushiriki kwenye mabonanza ya aina ya Kombe la Mapinduzi kunaweza kuwa'expose wachezaji kwenye majeruhi kiasi cha kuathiri ushiriki wao kwenye mashindano ya maana,ikumbuke ni bonanza hili lilitusababishia Striker wetu Donald Ngoma aitajike kuwa nje kwa muda fulani.
Kwahiyo Wazee wa mabonanza endeleeni kupigania ubingwa wa Mapinduzi mpk jasho la damu liwatoke mkimaliza mtatukuta Bara tumalizie battle yetu ya ubingwa.
Ustoe mapovu wwe kombe kma LA mbuzi na ulkua unaona kma sehem ya maziez ulishrki kfnya nn so ungeenda kufnya mazoez bgamoyo au Pemba acha pumba kma ni kombe LA mbuz usngeshirik ,na ungetfta seven nyngne ya mazoez
 
Nadhani huu mtazamo wako ungewapa viongozi was yanga kabla ya kushiriki mashindano ingependeza zaidi ya halo mimi naona ni majungu tu baada ya kutolewa je ungeshinda ungetoa ushauri huo?
 
Faida mojawapo ni kupata katoni za malta bure badala ya kutumia pesa kununua dukani
Ukitaka kuona hili ni bonanza la ajabu,best player anapewa Carton za Malta na kina Mwanjali wanapambana kila cku waweze kupata award hizo,mi nasema malizeni mrudi VPL....Mtatukuta
 
Sizitaki mbichi hizi.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,

Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
 
Yanga wasipoangalia azam hatakuja kumfunga mpaka yule meneja(mpemba)watakapokuja kumtoa kwa maana mpemba yoyote mali za Azam huzitetea Kama zake
 
Back
Top Bottom