Mtazamo wangu kuhusu Elimu Bure

Mtazamo wangu kuhusu Elimu Bure

Kibona_Son

Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
12
Reaction score
5
Nitaafiki na kuunga mkono kuwa kuna Elimu ni BURE iwapo tu watoto wa wakubwa Serikalini wataanza kusoma shule zetu sisi tunaoambiwa elimu ni BURE na sio shule binafsi. Kwani hii itapelekea kila mkubwa kuwa na uchungu na shule hizo na kuzisimamia kwa nguvu zote nah ii itasaidia uboreshaji wa dhati wa:-
· Miundombinu ya kufundishia
· Masilahi ya watumishi hususani walimu
· N.k
 
Kajitawaze kwanza usikimbilie JF
 
Huo ni ukweli kabisa.
Inaweza kuwa bure elimu na sio elimu bure
 
Back
Top Bottom