Mtazamo wangu juu ya Maandamano dhidi ya JK

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,989
1,291
Nimesoma kwa makini hoja za bwana Mallya mwenye kujinasibu kuwa yeye ni kada wa ccm na sio chadema kama navyonasibishwa. Ukisoma maelezo yake na ukibahatika kutembelea facebook page yake utagundua kuwa bwana huyu ni mwanachama wa chama gani hasa kwa sie ambao tu waenyeji hapa JF wala hutapata shida kwani wenyewe si tunajuana?Nani asiejua Malaria Sugu na Ritz wao ni CCM kindakindaki?

Ukiwauliza na wao watakumbia kwani hujui kuwa fulani na fulani ni cdm damu na wapo hata radhi kumwaga damu ikibidi hata iwe ya mkuu wa wilaya! Nimesoma yale maelezo nimegundua ni yale yale ya kila siku humu jf nimegundua jamaa anatumia lugha chafu zisizofaa kwa kuishawishi jamii! Ni kweli kama nchi tuna matatizo hivi ninavyo andika hii post sina umeme tangu saa kumi na mbili jioni jana ulirudi saa sita sijui leo utarudi au laa!

Hakuna anaeishi kwa raha kwani umeme ni kila kitu kwa hapa mjini asikwambie mtu! We chunguza siku kama mtaani kwenu hakuna umeme toka nje angalia nyumba ya mjumbe wa mtaa wa ccm wa nyumba kumi umeme unawaka? Sasa unahitaji maguvu, matusi na kejeli kumlainisha mjumbe aone kuwa nchi ipo gizani hata baada ya miaka 50 ya uhuru? Lah unahitaji facts na maneno za busara.

Tuchukulie mfano mmoja Malcom X na Martin Luther King walitumia maneno kama ya meku wangu Mallya? Anaejibasibu yeye ni UVCCM anaonyesha ana chuki binafsi na JK pamoja na familia yake kwa matamshi yake kama itakuwa ni kada wa CCM atakuwa kanyimwa ulaji vinginevyo nitaamini ni chadema na ni move kutoka hapa jf yaani sisi pia tuna mkono! Sijui kama tunatumiwa au pengine tunajua lakini all in all tuwe makini tujue tunatumiwa kwa maslahi ya nani?yetu sote then fine lakini maslahi ya watu wacheche hell NO.

Namalizia kwa kusema yale ya bwana Mallya kule facebook na kukopiwa hapa jf ni mwendelezo wa yale tunayoyashuhudia kila siku hapa jf ila inabidi kujipanga zaidi ili kuweza kuwashawishi na watu walio wastaarabu kuweza kuunga mkono harakati za ukombozi.
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
4,502
Nilifikiri unajadili faida na hasara ya maandamano badala yake unamzungumzia Mallya as Mallya sioni faida yake.
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,786
Kichwa cha habari na message vitu 2 tofauti.hizi ndizo akili za kijinga za magwanda siku zote.
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,079
Jina la mada ndio lililonileta hapa, sasa naona maelezo zako yamenikataa(c'jayaelewa yanazungumzia nini). Ok, napita tu.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Kichwa cha habari na message vitu 2 tofauti.hizi ndizo akili za kijinga za magwanda siku zote.

Kaka akili yako kweli ina akili au unatumia masaburi kuwaza ?Magwanda una maana Chadema ? Je mwandishi huyo kweli ni Chadema wa kumtetea JK ?
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
Title yako na habari ya ndani ni vitu viwili tofauti badala ya kuzungumzia swala la maadamano unalalamikia bwana malya kwa personal issues zake
na JK lakini wakati huo huo na wewe ukifanya hilo hilo kumshutumu mallya personal . ushauri wangu kwako ungemfuata bw.mallya kwenye facebook yake uongee naye badala ya kutuletea issue za umeme na wajumbe wa nyumba kumi kwamba nao pia angalia hawana umeme yaani unajaribu ku justify uozo wa serikali kama excuse kwamba kwanini serikali haijafanya hili au lile wakati unajua wazi kuwa wajumbe wa nyumba kumi kumi nao pia ni victims wa janga la umaskini wa ki fikra na mali otherwise wasingekubali kuninginiza bendera ya ccm wakati wanajua future za watoto na wajukuu zao zikiibiwa na akina Andrew chenge na Lowassa.
 
Mkulima mimi

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
30
umri ni namba tu haumaanishi busara!!
A%20S-smoking.gif
 
Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Nimesoma kwa makini hoja za bwana Mallya mwenye kujinasibu kuwa yeye ni kada wa ccm na sio chadema kama navyonasibishwa. Ukisoma maelezo yake na ukibahatika kutembelea facebook page yake utagundua kuwa bwana huyu ni mwanachama wa chama gani hasa kwa sie ambao tu waenyeji hapa JF wala hutapata shida kwani wenyewe si tunajuana?Nani asiejua Malaria Sugu na Ritz wao ni CCM kindakindaki? Ukiwauliza na wao watakumbia kwani hujui kuwa fulani na fulani ni cdm damu na wapo hata radhi kumwaga damu ikibidi hata iwe ya mkuu wa wilaya! Nimesoma yale maelezo nimegundua ni yale yale ya kila siku humu jf nimegundua jamaa anatumia lugha chafu zisizofaa kwa kuishawishi jamii! Ni kweli kama nchi tuna matatizo hivi ninavyo andika hii post sina umeme tangu saa kumi na mbili jioni jana ulirudi saa sita sijui leo utarudi au laa! Hakuna anaeishi kwa raha kwani umeme ni kila kitu kwa hapa mjini asikwambie mtu! We chunguza siku kama mtaani kwenu hakuna umeme toka nje angalia nyumba ya mjumbe wa mtaa wa ccm wa nyumba kumi umeme unawaka? Sasa unahitaji maguvu, matusi na kejeli kumlainisha mjumbe aone kuwa nchi ipo gizani hata baada ya miaka 50 ya uhuru? Lah unahitaji facts na maneno za busara. Tuchukulie mfano mmoja Malcom X na Martin Luther King walitumia maneno kama ya meku wangu Mallya? Anaejibasibu yeye ni UVCCM anaonyesha ana chuki binafsi na JK pamoja na familia yake kwa matamshi yake kama itakuwa ni kada wa CCM atakuwa kanyimwa ulaji vinginevyo nitaamini ni chadema na ni move kutoka hapa jf yaani sisi pia tuna mkono! Sijui kama tunatumiwa au pengine tunajua lakini all in all tuwe makini tujue tunatumiwa kwa maslahi ya nani?yetu sote then fine lakini maslahi ya watu wacheche hell NO.
<br />
<br />
kuna mawili labda umekula umeshiba sana na kuvimbiwa ama unanjaa sana hawa Ccm wamekuhonga sasa unaropoka tuuuuuuuu.
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Umeongea ukweli mkuu ingawa magwanda haohao leo wanakupinga, kweli Chadema wanafiki sana,
 
Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,237
317
Nimesoma kwa makini hoja za bwana Mallya mwenye kujinasibu kuwa yeye ni kada wa ccm na sio chadema kama navyonasibishwa. Ukisoma maelezo yake na ukibahatika kutembelea facebook page yake utagundua kuwa bwana huyu ni mwanachama wa chama gani hasa kwa sie ambao tu waenyeji hapa JF wala hutapata shida kwani wenyewe si tunajuana?Nani asiejua Malaria Sugu na Ritz wao ni CCM kindakindaki? Ukiwauliza na wao watakumbia kwani hujui kuwa fulani na fulani ni cdm damu na wapo hata radhi kumwaga damu ikibidi hata iwe ya mkuu wa wilaya! Nimesoma yale maelezo nimegundua ni yale yale ya kila siku humu jf nimegundua jamaa anatumia lugha chafu zisizofaa kwa kuishawishi jamii! Ni kweli kama nchi tuna matatizo hivi ninavyo andika hii post sina umeme tangu saa kumi na mbili jioni jana ulirudi saa sita sijui leo utarudi au laa! Hakuna anaeishi kwa raha kwani umeme ni kila kitu kwa hapa mjini asikwambie mtu! We chunguza siku kama mtaani kwenu hakuna umeme toka nje angalia nyumba ya mjumbe wa mtaa wa ccm wa nyumba kumi umeme unawaka? Sasa unahitaji maguvu, matusi na kejeli kumlainisha mjumbe aone kuwa nchi ipo gizani hata baada ya miaka 50 ya uhuru? Lah unahitaji facts na maneno za busara. Tuchukulie mfano mmoja Malcom X na Martin Luther King walitumia maneno kama ya meku wangu Mallya? Anaejibasibu yeye ni UVCCM anaonyesha ana chuki binafsi na JK pamoja na familia yake kwa matamshi yake kama itakuwa ni kada wa CCM atakuwa kanyimwa ulaji vinginevyo nitaamini ni chadema na ni move kutoka hapa jf yaani sisi pia tuna mkono! Sijui kama tunatumiwa au pengine tunajua lakini all in all tuwe makini tujue tunatumiwa kwa maslahi ya nani?yetu sote then fine lakini maslahi ya watu wacheche hell NO.

Kwa mtindo huu ambao mtu kama wewe ambaye unatoa kichwa cha habari tofauti na ujumbe ni afadhali wanaohimiza maandamano maana wanachosema kinaeleweka hata kama kinapingwa.
 
Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
856
Mtazamo wako juu ya maandamano ni kuwa umeratibiwa na CDM through JF?

Eliakim Mallya amenyimwa ulaji CCM ndio maana ameturn against his party ?

Wewe na mjumbe wa nyumba kumikumi mtaani hamna umeme na hamjui utarudi lini ?

Hao waliojiandikisha kuandamana wanatumiwa kwa maslahi ya wachache kama wale wanaosombwa na malori kuja kusikiliza siasa na kulishwa pilau

Baada ya kuchanganua dukuduku lako, naomba sasa utujuvye mtazamo wako juu ya maandamano hayo maana hayo hapo juu hayaweki bayana nia ya thread hii
 
escober

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
391
97
Mkuu shosi mbona unakurupuka title na content ni tofauti kabisa au ni masaburi at work
 
mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,301
463
nimekusoma sehemu moja tu kuwa katika si HASA, mtu akinyimwa ulaji aliotegemea hubadilika kimtazamo na si kwa ccm pekee hili tulitegemee kwa vyama vyote pale kunapotokea tofauti za kimaslahi basi mitazamo nayo hubadilika ghafla
 
WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,510
2,395
Kama maandamano ya ndani ya NCHI hayajaleta badiliko lolote la maana tusubiri tu huruma ya NATO kutuondolea zigo hili linaloitwa CCM. Kama wameweza kumwondoa Gadafi ambaye anawahudumia Walibya kwa kiwango kile tunachoelezwa ipo siku wataona CCM na serikali yake inavyowahudumia WATANZANIA kwa upande wa ELIMU, hakuna vikalio, hakuna madarasa, hakuna vitabu, hakuna vyoo, hakuna maabara,....
NATO wataona zahanati zetu zilivyo, mahakama zetu zilivyo na zinavyotengewa pesa, vituo vyetu vya polisi vilivyo na polisi wenyewe wanavyojitafutia maisha mitaani, magereza yetu yalivyo, siasa zetu za vyama vingi zilivyo, wanasiasa wetu wanavyowekeza kwenye siasa,..... Ipo siku tu.
NATO waliwalea akina Hosni Mubarak hadi mbeleko zikachanika. Wakawaachia. Ipo siku wataiachia CCM pia.
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,786
Mbona NATO ni washkaji wa CCM kama mnafikiri watakuja kuiondoa mnaota.Hapa tz kuna democracy pana zaidi huwez linganisha na Libya at that time.We fikiria after every 5 yrs tunafanya uchaguz na wapinzani wanaambulia kura wanaingia mjengoni,democrasia imevuka mipaka hata mnampiga DC kwa kumburuta barabarani.Demokrasia ya namna hii hata NATO hawana tunawazidi.Waambieni kwanza waanze Uganda,Zimbabwe,Malawi,Congo,Somalia,Ugiriki,Uingereza,Iran,Syria,Yemen n.k.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom