Mtazamo wangu juu ya Maandamano dhidi ya JK

Dah!
Hizi chuki binafsi hizi!
Zinasababisha hata mtu anashindwa kujipanga.
Hakuna bandiko kabisa hapa.
KICHWA KIKO NAIROBI, KIWILIWILI BUJUMBURA.
Hatari hii!
 
Umeongea ukweli mkuu ingawa magwanda haohao leo wanakupinga, kweli Chadema wanafiki sana,
mzee wa kurukia na hili umerukia umenikumbusha ile issue ya dc wa igunga ulikuwa hujui kama ni mwanamke au mwanaume ukadai walimchania suruale ikabidi aazimwe!
 
Umejitahidi kumuelezea Mally. Tunaomba utoe msimamo wako kuhusu maandamano.
 
Mimi Mallya namuiunga mkono kwa sababu JK nchi imemshinda iwe chuki binafsi au lolote lile JK hatakuwa ameonewa. Huu ni muda muafaka kabisaaaa. Hivyo jamaa aliyetaka kumtetea JK ameonekana akili yake haijaambatana ndo maana anachoandika hakina ushirikiano na kichwa cha habari.
 
Shossi leo umechemsha, naona ni bora urudi ukiwa upo fresh na uipitie post yako na uisome ndio utajua kwanini watu wamekutolea nje post yako. Hujui unachokiandika au wakati unaandika basi ulikuwa upo Bar unapata 1 cold na 1 hot. Sio Shossi ninayemjua mimi leo, huyu aliyepost ni mwingine kabisaaaaa.
 
Mtazamo wako juu ya maandamano ni kuwa umeratibiwa na CDM through JF?

Eliakim Mallya amenyimwa ulaji CCM ndio maana ameturn against his party ?

Wewe na mjumbe wa nyumba kumikumi mtaani hamna umeme na hamjui utarudi lini ?

Hao waliojiandikisha kuandamana wanatumiwa kwa maslahi ya wachache kama wale wanaosombwa na malori kuja kusikiliza siasa na kulishwa pilau

Baada ya kuchanganua dukuduku lako, naomba sasa utujuvye mtazamo wako juu ya maandamano hayo maana hayo hapo juu hayaweki bayana nia ya thread hii

Hapo kwenye blue nakubaliana na wewe uwe umetumika na CCM, CUF au CDM ni umetumika tu na sio kwa maslahi ya umma unakuwa unatumika kwa maslahi ya wachache. Tunataka jambo liratibiwe bila kuingizwa siasa na chuki binafsi "personal attacks" ukisoma vizuri status za bwana mkubwa Mallya zimejaa chuki na kejeli watu hawashawishiki kwa kauli za jazba wanashaushika kwa kuwapa facts na kuwaambia tukifanya hivi future itakuwa hivi.

Okay walipo huko wakiandamana halafu nini kitafuatia? kwani US hawajui yanayoyasibu TZ? wikileaks si wametoa kilakitu (mawasiliano ya balozi mstaafu) na nchi yake. Riport ile imeeleza kinaga ubaga hadi jinsi Dr Hosea alivyotoa rai yake kuhusu mafisadi. Ina maana jamaa wanataka kuandamana kwakuwa US hawajui yote hayo wakiandamana ndio watajua?
 
Back
Top Bottom