Mtazamo wangu Heaven and hell zina exist katika ulimwengu

Mtazamo wangu Heaven and hell zina exist katika ulimwengu

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,102
Reaction score
14,024
Just mtazamo kwenye huu ulimwengu kuna sehemu ni nzuri zinavutia machoni kuzitazama zinakupa comfortability ni raha tupu kwa mfano wale wenzetu waliopewa ahadi ya mabikra ndio anapelekwa sehemu kama hii afu anapewa vitoto vya 2000 ambavyo matiti hayajalala alafu vina mizigo unafikiri kichwani mwake atawaza nini juu ya hii place.
images (3).jpeg

Afu kuna hizi sehemu ambazo ndio wengi tunazi experiance kitu comfortability sahau ni harufu za uvundo, vinyesi mazingira yanayotisha na machafu to the maximum hapa ndio mtoto wa kishua anaongea kwa kinyaa "oh this place is like hell, I can't spend more sec here"
images (4).jpeg
 
H
Just mtazamo kwenye huu ulimwengu kuna sehemu ni nzuri zinavutia machoni kuzitazama zinakupa comfortability ni raha tupu kwa mfano wale wenzetu waliopewa ahadi ya mabikra ndio anapelekwa sehemu kama hii afu anapewa vitoto vya 2000 ambavyo matiti hayajalala alafu vina mizigo unafikiri kichwani mwake atawaza nini juu ya hii place.View attachment 3392717

Afu kuna hizi sehemu ambazo ndio wengi tunazi experiance kitu comfortability sahau ni harufu za uvundo, vinyesi mazingira yanayotisha na machafu to the maximum hapa ndio mtoto wa kishua anaongea kwa kinyaa "oh this place is like hell, I can't spend more sec here"View attachment 3392722
Huenda mbinguni na motoni sio sehemu ila ni hali. Kwamba, wakati tukiwa na furaha inakuwa ndio mbingu yetu na wakati tumepigika na mastress kibao, hio ndio motoni kwetu.
 
Mbinguni na Motoni ni idea zilizotengenezwa wa wajanja wa zamani,,, huko juu kuna space tu hata Mfalme Zumaridi sijui alienda kwenye mbingu ipi...
Mbingu ni ufahamu tu ndo maana siye Walimwengu tunakwambia kuwa MTU anayejielewa ufahamu wake uko Mbingu ya Saba..
 
Just mtazamo kwenye huu ulimwengu kuna sehemu ni nzuri zinavutia machoni kuzitazama zinakupa comfortability ni raha tupu kwa mfano wale wenzetu waliopewa ahadi ya mabikra ndio anapelekwa sehemu kama hii afu anapewa vitoto vya 2000 ambavyo matiti hayajalala alafu vina mizigo unafikiri kichwani mwake atawaza nini juu ya hii place.View attachment 3392717

Afu kuna hizi sehemu ambazo ndio wengi tunazi experiance kitu comfortability sahau ni harufu za uvundo, vinyesi mazingira yanayotisha na machafu to the maximum hapa ndio mtoto wa kishua anaongea kwa kinyaa "oh this place is like hell, I can't spend more sec here"View attachment 3392722
We ndugu, acha kutusahaulisha ukweli wa mbingu na jehanam. Mbinguni sio hapa duniani. Na jehanam ipo, imeandaliwa kwa ajili ya watenda dhambi. Hao wanaolala kwenye nyumba hizo za mbao wanaweza mchana wakaenda hotelini wakala chakula kizuri tu. Jehanam ukiishaingia ni mateso milele. Na hiyo nyumba unayoisifia ikipigwa bomu moja tu kutoka Iran(usiseme MOP) inakuwa majivu. Mbinguni hakuna vita wala wasiwasi wa nyumba kubomolewa.
Halafu dhambi ya uasherati/uzinzi inakunyemelea au inakuzinga. Tubu dhambi zako uokoke. Jesus is coming soon. (Rev 22:10-12)
 
Back
Top Bottom