Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,869
- 61,570
- Thread starter
- #21
ha ha haUmesahau pia huwa wanapiga nyeto sanaa
ha ha haUmesahau pia huwa wanapiga nyeto sanaa
Mtu asiyekuwa na mpenzi anakuwa yuko huru katika maisha yake,anakuwa amekwepa kifungo cha utumwa....anachokitafuta katika maisha ni kwa ajili ya tumbo lake tu,akipata akikosa hakuna wakumlaumu;ingawa kupingana na asili ni mtihani pia.
ha ha ha haUkiwa na mwenza asilimia kubwa unamuwaza yeye.
Hata sms ya vodacom ikiingia unahisi yeye unakimbilia simu.
Ukiwa single unawaza mapenzi kijuu juu hasa pale unapo ona mtu wa jinsia tofauti.
Ukiwa kazini na Ukirudi geto unawaza mambo mengine (pengine ya maana tu)
Najionea mpaka sasa!!
Umesahau pia huwa wanapiga nyeto sanaa