Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Dogo kama vp chukua mji, nenda sumbawangu..
Binadamu....akiwa mtoto anatambaa...akiwa kijana anatembea....akiwa mzee anatumia fimbo!!
tehe tehe tehe MWANAUMEEEEEE!
Ni binadamu,utotoni anatambaa kwa mikono na miguu,utu uzimani anatembea kwa miguu miwili na uzeeni anaongezea mkongoja