Mtatiro, Unamaanisha nini kusema, a.k.a Bwana yule?

Mtatiro, Unamaanisha nini kusema, a.k.a Bwana yule?

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
846
Reaction score
825
Hodi wana jamvi,

Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE.

Je, Ni halali na kikatiba inakubalika?

Naombeni maoni yenu wadau wa JF.
 
Hodi wana jamvi,

Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE.

Je, Ni halali na kikatiba inakubalika?

Naombeni maoni yenu wadau wa JF.
Mtu yeyote asiyetambulika rasmi kwenye kaliba ya watu ama jamii fulani. .mkwe anaweza kukuita hivyo kama ukitengana na bintiye na hasa kama kosa likiwa ni lako kwa kuthibitisha
Ndio inakubalika hakumtaja mtu mbona jpm mahakama ilikubali
 
Huyu jamaa huwa anajitutumua sana naye ajulikane, ila Wapi! Ni wanasiasa ambao siku zote wapo wapo tu.
Amepoteza muelekeo kiongozi mkubwa wa chama maamuzi yake mengi yanafanywa kwa maelekezo kutoka CHADEMA...kama CUF inataka kupotea kwenye ramani ya siasa wamuachie Mtatiro awaongoze..
 
upload_2016-10-3_22-47-57.jpeg


Bwana yule kwa Ihsani ya MUTUNGWA.Huyu sio Jaji ni JIJA.
sakata hili linaharibu sana taaluma za watu aisee.Jaji na Professa kweli siasa ni kichaka.
 
Ha, ha, ha, BWANA YULE ni Profesa aliyeamua kudhalilisha taaluma yake kwa kukubali kutumwa na mtu mwenye Phd ambaye hata uongeaji wake kwa kutumia lugha ya Kiingereza ni wa shida.
 
Back
Top Bottom