Mtatiro live channel 10

Sioni sababu ya msingi HR kufukuzwa CUF! Sababu za kumfukuza ziko very weak. Eti alipiga picha na Mizengo Pinda na kuleta image mbaya ktk chama cha CUF; Eti hachangii chochote Bungeni n.k.
Mgogoro wa HR na chama chake ulianza kufukuta mara baada ya HR kutangaza nia ya kugombea nafasi ya U-katibu mkuu wa CUF nafasi ambayo baadae ange
gombea U- makamu wa Rais au Rais wa Zanzibar. Maalim Seif ameanza kuchoka kisiasa.

kumbe kuwa mgombea wa rais wa baraza la mapinduzi zanzibar lazima uwe katibu mkuu? Katiba ya CUF ndo inasema hivyo?
Aseeee!!!!!
 
Back
Top Bottom